Magufuli amejibu maswali magumu 2020

Magufuli amejibu maswali magumu 2020

Hali mnaya ya kiuchumi
Serikali ya JOHN Pombe Joseph Magufuli iliahadi wakati wa uchaguzi 2015. Na haya ni baadhi ya mafanikio ya JPM,
  • Ujenzi wa Reli ya kisasa (SGR )
  • Ujenzi wa bwawa la umeme Stigler George
  • Ujenzi wa Mfugale fly over (TAZARA).
  • Elimu bure kuanzia Shule ya Msingi mpaka Sekondari
  • kafufua shirika la ndege ATCL
  • Kudhibiti rushwa ya hongo za teuzi
  • Ujenzi wa viwanda vipya zaidi ya 3000 nchi nzima.
  • Ongezeko la zaidi ya Tsh. Bilioni 107 la makusanyo mapya ya madini nchini.
  • Ongezeko la vituo vya afya vipya zaidi ya 93 vya upasuaji nchini.
  • Bajeti ya mikopo ya elimu ya juu imeongezeka kwa takribani Tsh. Bilioni 80
  • kuzuia safari za nje zisizo za lazima
  • Ujenzi wa hostel za udsm
  • Misharaha ya watumishi inalipwa kwa wakati
  • Ongezeko la zaidi ya asilimia 39.5 la idadi ya Wananchi waliofikiwa na huduma ya umeme.
  • Hadi kwenye michezo tunaenda AFCON
  • Magufuli ametosha kabisa na Tanzania iko salama mikononi mwako.

get well soon tl
 
kwani hivyo alivyoanza navyo sio vipaumbele jamani?
Elimu bure za chini ya Mibuyu,Wananchi wanakunywa tope huko vijijini Ati daraja la Mfugale hilo limejengwa kwa ajili ya kuwawahisha Vigogo Airport hayo Madege ghali yamekuwa ya kufanyiwa maonyesho huku Wakenya wakitucheka.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
JK kabla hajaondoka alisema tutamkumbuka, nakweli tumemkumbuka ila JPM atakumbukwa daima haya mambo ni makubwa sana na amethubutu kuyafanya katika kipindi kifupi sana alichokaa madarakani swali je hadi kufika 2025 Tanzania itafanana na Marekani au China?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serikali ya JOHN Pombe Joseph Magufuli iliahadi wakati wa uchaguzi 2015. Na haya ni baadhi ya mafanikio ya JPM,
  • Ujenzi wa Reli ya kisasa (SGR )
  • Ujenzi wa bwawa la umeme Stigler George
  • Ujenzi wa Mfugale fly over (TAZARA).
  • Elimu bure kuanzia Shule ya Msingi mpaka Sekondari
  • kafufua shirika la ndege ATCL
  • Kudhibiti rushwa ya hongo za teuzi
  • Ujenzi wa viwanda vipya zaidi ya 3000 nchi nzima.
  • Ongezeko la zaidi ya Tsh. Bilioni 107 la makusanyo mapya ya madini nchini.
  • Ongezeko la vituo vya afya vipya zaidi ya 93 vya upasuaji nchini.
  • Bajeti ya mikopo ya elimu ya juu imeongezeka kwa takribani Tsh. Bilioni 80
  • kuzuia safari za nje zisizo za lazima
  • Ujenzi wa hostel za udsm
  • Misharaha ya watumishi inalipwa kwa wakati
  • Ongezeko la zaidi ya asilimia 39.5 la idadi ya Wananchi waliofikiwa na huduma ya umeme.
  • Hadi kwenye michezo tunaenda AFCON
  • Magufuli ametosha kabisa na Tanzania iko salama mikononi mwako.
Umesahau moja air hostages kusindikiza ndege ikachorwe twigaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ni kweli nazani uchaguzi utakuwa huru this time, pia hakutakuwa na kuiba kura kwa wala kupora ushindi msaada kwa tiss na police na NEC welldone jiwe,.nazani wale makada wenu mliwaweka ili watanganze mshindi wa ccm au kutopokea form za mgombea wa upinzani hawatakuwepo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mtu mwenye ka -harufu ka -kisukuma haachi kuwa na ujinga wa kupenda kuona maendeleo ya vitu badala ya watu. Anajenga "mabugando " tu huku hajali maisha ya watu. This is craziness!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ni kweli nazani uchaguzi utakuwa huru this time, pia hakutakuwa na kuiba kura kwa wala kupora ushindi msaada kwa tiss na police na NEC welldone jiwe,.nazani wale makada wenu mliwaweka ili watanganze mshindi wa ccm au kutopokea form za mgombea wa upinzani hawatakuwepo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna kichekesho kikali kama msimamizi wa uchaguzi kufunga ofisi na kutimua mbio kuogopa kupokea fomu za wagombea wa ukinzani. Kituko cha karne 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
  • Thanks
Reactions: BAK
UPUUZI MTUPU! Hatutaki dikteta, mwizi, muongo, mtekaji, mtesaji, MUUAJI, anayedharau katiba, Bunge, mahakama, anayeleta machafuko nchini kuharibu amani na mshikamano, anayedhulumu wafanyabiashara, wakulima na wafanyakazi.

Huyu mhutu ni janga kubwa la Taifa na hastahili kuwepo Ikulu hata kwa sekunde moja.

Serikali ya JOHN Pombe Joseph Magufuli iliahadi wakati wa uchaguzi 2015. Na haya ni baadhi ya mafanikio ya JPM,
  • Ujenzi wa Reli ya kisasa (SGR )
  • Ujenzi wa bwawa la umeme Stigler George
  • Ujenzi wa Mfugale fly over (TAZARA).
  • Elimu bure kuanzia Shule ya Msingi mpaka Sekondari
  • kafufua shirika la ndege ATCL
  • Kudhibiti rushwa ya hongo za teuzi
  • Ujenzi wa viwanda vipya zaidi ya 3000 nchi nzima.
  • Ongezeko la zaidi ya Tsh. Bilioni 107 la makusanyo mapya ya madini nchini.
  • Ongezeko la vituo vya afya vipya zaidi ya 93 vya upasuaji nchini.
  • Bajeti ya mikopo ya elimu ya juu imeongezeka kwa takribani Tsh. Bilioni 80
  • kuzuia safari za nje zisizo za lazima
  • Ujenzi wa hostel za udsm
  • Misharaha ya watumishi inalipwa kwa wakati
  • Ongezeko la zaidi ya asilimia 39.5 la idadi ya Wananchi waliofikiwa na huduma ya umeme.
  • Hadi kwenye michezo tunaenda AFCON
  • Magufuli ametosha kabisa na Tanzania iko salama mikononi mwako.
 
Kwa mazwazwa wa lumumba tu ndiyo watamkumbuka huyu dikteta na MUUAJI kubwa la majizi na mashetani.

Back
Top Bottom