Magufuli amejibu maswali magumu 2020

magu sam

Member
Jul 20, 2018
62
50
Serikali ya JOHN Pombe Joseph Magufuli iliahadi wakati wa uchaguzi 2015. Na haya ni baadhi ya mafanikio ya JPM,
  • Ujenzi wa Reli ya kisasa (SGR )
  • Ujenzi wa bwawa la umeme Stigler George
  • Ujenzi wa Mfugale fly over (TAZARA).
  • Elimu bure kuanzia Shule ya Msingi mpaka Sekondari
  • kafufua shirika la ndege ATCL
  • Kudhibiti rushwa ya hongo za teuzi
  • Ujenzi wa viwanda vipya zaidi ya 3000 nchi nzima.
  • Ongezeko la zaidi ya Tsh. Bilioni 107 la makusanyo mapya ya madini nchini.
  • Ongezeko la vituo vya afya vipya zaidi ya 93 vya upasuaji nchini.
  • Bajeti ya mikopo ya elimu ya juu imeongezeka kwa takribani Tsh. Bilioni 80
  • kuzuia safari za nje zisizo za lazima
  • Ujenzi wa hostel za udsm
  • Misharaha ya watumishi inalipwa kwa wakati
  • Ongezeko la zaidi ya asilimia 39.5 la idadi ya Wananchi waliofikiwa na huduma ya umeme.
  • Hadi kwenye michezo tunaenda AFCON
  • Magufuli ametosha kabisa na Tanzania iko salama mikononi mwako.
 
Ukimchukia Rais Dkt. Magufuli au Kutomkubali basi utakuwa na tatizo Kubwa sana la Akili ( Uwendawazimu ) hivyo yakupasa uwahishwe kwa Matibabu ama Mirembe Mkoani Dodoma au Lutindi Wilayani Korogwe Mkoani Tanga. CCM haijawahi kuwa na Marais wa hovyo hovyo bali Siku zote imekuwa ikitoa Viongozi bora na mahiri kabisa.
 
Rais wa ovyo kabisa haijapata kutokea.
 
Wendawazimu hawatakaa waishe sayari hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tundu Lissu alipigwa kwa Amri kutoka juu.
Bila ya kuwasahau maelfu ya watanzania wanaotaabishwa kwa dhiki ukosefu wa Maji nk.
Kama unalijua hilo na una ushahidi si uende kwenye mahakama ya haki za binadamu The Hague ukashtaki..hao wananchi waambie wasogee kwenye vyanzo vya maji waishi..haiwezekani kila baada ya kilometa tatu kuna kijiji..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukimchukia Rais Dkt. Magufuli au Kutomkubali basi utakuwa na tatizo Kubwa sana la Akili ( Uwendawazimu ) hivyo yakupasa uwahishwe kwa Matibabu ama Mirembe Mkoani Dodoma au Lutindi Wilayani Korogwe Mkoani Tanga. CCM haijawahi kuwa na Marais wa hovyo hovyo bali Siku zote imekuwa ikitoa Viongozi bora na mahiri kabisa.
Very poor analysis only from a very poor mind. Utasemaje kuwa CCM haijawahi kutoa Rais mbaya wakati hatujawahi kuwa na Rais nje ya CCM ili tukalinganisha?

Ninachoweza kusema ni kuwa Tanzania hata baada ya zaidi ya miaka 50 ya uhuru, ikiwa chini ya CCM, bado ni maskini. Baadhi ya nchi zilizopata uhuru baadaye zimekuwa na maendeleo kuizidi Tanzania.

Kwa mujibu wa UNDP, Tanzania iliyokuwa sawa na Singapore, Malaysia, Indonesia na Thailand mwaka 1961, itaichukua zaidi ya miaka 250 kuifikia ilipo Malaysia leo kama Malasia wakibakia pale pale. Hii ndiyo Tanzania chini ya CCM.

Kwa kifupi CCM ndiyo muuaji wa maendeleo ya nchi na matarajio ya Watanzania. CCM hawana la kujivunia zaidi ya kuifanya nchi kuwa maskini, watu wengi kukosa akili ya tafakari, na kuwafanya mashabiki wao na wanachama wao kukubali kuishi bila ya kufikiri huku wakiachwa kuwa waitikiaji wa vibagwizo vinavyoimbwa na viongozi wao waliowanyang'anya uwezo wa kufikiri.
 
Maoni yangu yaheshimiwe tafadhali kama vile na Mimi ninavyoyaheshimu yako sawa? Nimemaliza nawe.
 
Back
Top Bottom