Wana wa Nchi,
Natanguliza Shukrani kwa Mola wangu,
Watanzania wenzangu, kimsing ni miaka miwili tu imepita tangu tumalize uchaguzi mkuu wa mwaka 2010, na bado tuna miaka mitatu mbele kabla ya uchaguzi mwingine mwaka 2015, ingawa ni mapema sana kuanza kuzungumzia nani atakuwa rais au nani...