Ni UTOTO tu, akikua atajitambua na kuacha maigizo. Kuna kazi nyingi kweli za kufanya ktk Wizara hiyo,dogo hazioni badala yake anaigiza aliyoyafanya Mzee Magu. Ubunifu ni muhimu ktk kusimamia maendeleo ya Nchi na Wananchi, siyo maigizo. Anyway, ni mwanzo, labda watabadilika.