Recent content by magogony

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Niliwahi andika natafuta mganga

    Umeandika ukiwa tayari ukabwa na mapepo yako
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ole Sabaya anafaa sana kuwa Rais wa Tanzania, na atakuja kuwa

    [emoji706]
  3. M

    JamiiForums Tanzania Natamani kuzaliwa upya. Chunusi ziliniponza

    Unatamani jambo jema maana biblia ina sema "mtu asipozaliwa mara ya pili hawezi kuurithi uzima wa milele"
  4. M

    JamiiForums Tanzania Natamani kuzaliwa upya. Chunusi ziliniponza

    Mtu asipo zaliwa mara ya pili hawezi kuurithi ufalme wa Mungu.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki wanajenga kitu gani maeneo ya Makurunge?

    Taarifa ndugu siyo taharifa Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
  6. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wakianguka Wapinzani wote katika ngazi ya Urais na Ubunge ni hatua nzuri ya kuchukua nchi mwaka 2025

    Lugha ya kujifariji tu hiyo ndugu Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
  7. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mbowe ashindwa kutetea Ubunge wake katika Jimbo la Hai

    Akiuze tu chama kwa bei ya jumla sasa Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
  8. M

    JamiiForums Tanzania Damu ya usaliti wa CHADEMA imewamaliza 2020

    Kwani Zito kashindwa? Kama ni hivyo leo nafanya sherehe. Mnafiki mkubwa yule jamaa , ndumila kuwili wa kiwango cha PhD Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
  9. M

    JamiiForums Tanzania Simba SC is somethingwrong somewhere

    CEO wa Simba anafanya kazi Simba anenda kulala na watu wa yanga unadhani hapo kuna kazi tena
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ni maisha ya aina gani uliyapitia wakati unaishi kwa ndugu? Karibu tukumbushane na tujifunze!

    Siku zote unapomsaidia mtu , fanya Kama unatoa sadaka lkn ukingojea shukrani unapoteza muda wako. Mungu anajua ulichokifanya atakurudishia maradufu kwa namna usiyoijua unachopaswa kufanya ni kumsamehe na kuendelea na maisha mengine.
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchumba amebadilika na kuwa mlokole, sasa ni tabu tupu, bora kuoa mpagani

    Kama mnaishi pamoja anakosea Sana kukunyima , ndoa ni makubaliano yenu wawili Kama mlikubaliana kuishi pamoja iweje leo ageuke? Ningemuona yupo sahihi kama angehimiza ndoa ili kuhalalisha. Ushauri wangu kwako Kama kweli unampenda fanya taratibu za ndoa
  12. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Maisha baada ya uchaguzi!

    Kiongozi wa nchi anaweza changia kwa zaid ya 46%
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ni maisha ya aina gani uliyapitia wakati unaishi kwa ndugu? Karibu tukumbushane na tujifunze!

    Sitaki hata kukumbuka maana ni hatari lkn Leo wamekuwa kila shida wanakimbilia kwangu, ni vile tu tumeumbwa na moyo wa msamaha ndani
  14. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nitampigia Kura mgombea urais yeyote atakaejieleza kwa ufasaha kuhusu fao la kujitoa NSSF

    Hakuna atayeeleza chochote mpaka kampeni zina kwisha
Back
Top Bottom