Recent content by magnifico

  1. magnifico

    JamiiForums Tanzania CDF na IGP kwa uelekeo huu kamwe hawatopanda mahakamani kwenye kesi ya Lissu

    Hapo ni kutupa taulo tu kesi ifutwe. Hawakutegemea Lissu angewafikisha huku.
  2. magnifico

    JamiiForums Tanzania Jaji Ndunguru: Summons zitolewe kwa DCI, CDF na IGP waje kutoa ushahidi upande wa utetezi

    Hapo lazima Lissu akupitishe kwenye tanuri la Moto.
  3. magnifico

    JamiiForums Tanzania Jaji Ndunguru: Summons zitolewe kwa DCI, CDF na IGP waje kutoa ushahidi upande wa utetezi

    Kwa hiyo mjomba ukijibu ndio ndio, unakuwa umemaliza kila kitu? Tutarudi kukumbusha hizi ndio ndio ndio unazosema.
  4. magnifico

    JamiiForums Tanzania Jaji Ndunguru: Summons zitolewe kwa DCI, CDF na IGP waje kutoa ushahidi upande wa utetezi

    Uwezo wa kumnyonga Lissu hawana. Ila Lissu uwezo wa kuwavua nguo na kuionesha dunia madudu yao anao. Whether tuko Afrika au wapi wakumnyonga Lissu hajazaliwa bado.
  5. magnifico

    JamiiForums Tanzania Jaji Ndunguru: Summons zitolewe kwa DCI, CDF na IGP waje kutoa ushahidi upande wa utetezi

    Labda Lissu wa Lumumba ndio atakuwa na strategy za kishamba kama hizi.
  6. magnifico

    JamiiForums Tanzania Jaji Ndunguru: Summons zitolewe kwa DCI, CDF na IGP waje kutoa ushahidi upande wa utetezi

    Anafikiri Lissu ana akili za Katuga.
  7. magnifico

    JamiiForums Tanzania Jaji Ndunguru: Summons zitolewe kwa DCI, CDF na IGP waje kutoa ushahidi upande wa utetezi

    Hii ni red alert kwa Ndugu zetu Maaskari. Mtatumikishwa kwenye kazi chafu lakini itapofika muda wa uwajibikaji Wanasiasa watakaa pembeni wakikuachia jumba bovu upambane leo. Lissu anakuvua nguo vizuri tu.
  8. magnifico

    JamiiForums Tanzania KERO Askari Polisi wengi hatupati posho ya pango

    Pambaneni tupate katiba mpya.
  9. magnifico

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Licha ya kuambiwa itakuja El Nino bado wanaharakati wanataka kuharibu tena miundombinu October 29

    Tangu 2015 maandamano gani ya upinzani yamewahi kuruhusiwa? Labda tuanzie hapo.
  10. magnifico

    JamiiForums Tanzania Azam TV yaongeza channel mpya Azam Sports 5 HD

    Ukitaka kuamini King'amuzi ni King'amuzi angalizia hiyo stream yako karibu na wanaocheki kwa TV. Wanaanza wao kushangilia sekunde 10 baadae unafata wewe. Ni sawa ukae na mtu anayesikiliza mpira kwa redio. Dunia ya sasa watu wanataka vitu in realtime hizo IPTV ni nyongeza tu.
  11. magnifico

    JamiiForums Tanzania Watanzania wenzangu,Naomba amani tuliyonayo tuilinde kwa nguvu zetu zote

    Tufafanulie kidogoko jinsi familia ya Mzee Mohammed Kibao ilivyonufaika na amani tuliyonayo?
  12. magnifico

    JamiiForums Tanzania Daktari aliyeshambuliwa na Polisi ni Specialist

    NI vyema ukaambatanisha na sheria inayomruhusu askari kuchomoa funguo ya chombo chako. Sisapoti alichofanya ila mara nyingi fujo huwa zinaanzishwa na fujo.
  13. magnifico

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Polisi wamempiga daktari mwenzetu mpaka kalazwa ICU

    Wanajeshi wana mchango mkubwa kwenye yanayoendelea hapa nchini. Haya matukio tungekuwa tumeyasahau kama wangetimiza majukumu yao tarehe 29 October.
  14. magnifico

    JamiiForums Tanzania Trafiki atembezewa kichapo na Mwananchi Mwenge, Mwanajeshi aingilia Kati. Sasa itakuaje?

    Inawezekana ni miongoni mwa waliofiwa October 29.
Back
Top Bottom