Recent content by MAGNATE

  1. MAGNATE

    JamiiForums Tanzania Mlioko kwenye ndoa naomba ushauri hasa wanawake: Nilifumaniwa na mtoto wangu wa kiume

    Mtoto amebeba mzigo mkubwa sana na pia ameathirika kisaikolojia hapo, asipooa usimshangae hata kidogo ni makosa yako. Hapo ukweli na mapatano ndio yatawaweka huru japo kwa dogo itamchukua muda sana
  2. MAGNATE

    JamiiForums Tanzania SCREENSHOTS: Wimbo gani unasikiliza sasa hivi?

    Vijana tunaopenda muziki wa zamani
  3. MAGNATE

    JamiiForums Tanzania Cheki walokole walichofanya hapa

    Kama ambavyo ilala na kinondoni misikiti kila mtaa
  4. MAGNATE

    JamiiForums Tanzania BBC Swahili mnatia aibu kuhusu Gaza

    Achana na BBC Swahili nenda kaangalie Aljazeera kama unaona unadanganywa
  5. MAGNATE

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

    Reyna mkulima wa mpunga huyu
  6. MAGNATE

    JamiiForums Tanzania Kero Makanisani: Mwambie mwenzako, mshike mkono mwenzako, mkumbatie mwenzako. Haya maneno chanzo cha michepuko mipya Kanisani

    Mara nyingi hiyo ya mgeukie jirani huwa unajikuta umetoa ahadi madhabahuni ambayo huna uhakika wa kuitimiza
  7. MAGNATE

    JamiiForums Tanzania Kero Makanisani: Mwambie mwenzako, mshike mkono mwenzako, mkumbatie mwenzako. Haya maneno chanzo cha michepuko mipya Kanisani

    Hiyo ya kusema mgeukie jirani yako mwambie jumanne nitakuja ibadani, nitachangia mchango aisee siipendi kabisa ndio maana niliacha kwenda makanisa ya kina apostle nimerudi kwa Padre hakuna mambo ya mwambie mwenzio sijui mgeukie mwenzio. Sina sababu ila sipendi tuu Au muimbaji ameenda mbele...
  8. MAGNATE

    JamiiForums Tanzania DART Special Thread: Tunaomba Maoni Ushauri, Malalamiko, Pongezi na Mapendekezo kuhusu Mabasi ya Mwendokasi

    Niliona kule China ambako ndiko zinakotoka hizi gari za brt usafiri wa umma wote una full ac hamna kufungua madirisha na nauli ni sawa na hii tunayolipa sisi huku yaani yuan 2 kwanini haya ya kwetu yasiwe na huduma hiyo ya full ac muda wote wakati nauli ni kubwa sana. La pili kule China mabus...
  9. MAGNATE

    JamiiForums Tanzania TANZANIA na ZANZIBAR zasaini mkataba wa makubaliano..

    Nimeelewa sana mchango wako, kuna siku nami nilijiuliza maswali hayohayo, kwanini wazenji wakija huku wanamiliki ardhi bila masharti yoyote na wako wengi kwelikweli ila sisi watanganyika tukienda kule kumiliki ardhi ni kama mzungu au mnigeria akitaka kutumia ardhi pale yaani ni mgeni ndani ya...
  10. MAGNATE

    JamiiForums Tanzania Ni mistari ipi au neno gani katika Biblia lilishakutokea?

    Nikionacho hapa ni kwamba bwana yuda wewe ulikimbilia kuandika kabla hujamaliza kusoma alichokiandika mtoa mada
  11. MAGNATE

    JamiiForums Tanzania Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Mbona hiyo KBC ipo, mi kuna muda huwa ninaitizama.
  12. MAGNATE

    JamiiForums Tanzania Nini hasa lengo la kumzika marehemu jirani na nyumba au katikati ya uwanja?

    Hujaujua ulimwengu wa waafrika vizuri bado
  13. MAGNATE

    JamiiForums Tanzania Ubunifu unaiua Sahara Media Group

    Sahara media ubunifu siku hizi ni zero, wamenasa na vipindi vilevile huku miaka imeenda. Kipindi hicho marehemu Fredwaa aliinogesha asubuhi vilivyo na sindano tano za moto, ukija usiku kipindi cha michezo na muziki wa DRC. Unakuja jumapili usiku vikota kutoka Mumbai huko. Ila sasa nyakati...
  14. MAGNATE

    JamiiForums Tanzania Yaliyonikuta baada ya kumsaidia rafiki yangu mwenye degree

    Mimi kiuhalisia sipendi kuishi na rafiki au mtu yeyote asiye na undugu wa karibu na mimi chumba kimoja. Na kama nyumba niko peke yangu nyumba nzima nachagua marafiki wa kukaa nao aisee.
Back
Top Bottom