Hii sasa ni dharau ya waziwazi ya wanaoitwa watawala wetu. Hii precedence wanayoweka ccm ya kudharau kila mtu na kujiona miungu itatuletea Shida baadae. Hivi watu wafanyeje sasa? mbona in manyanyaso kila upande?
Wizara zilizoundwa na Rais wa awamu ya tano baadhi yake kwangu Mimi zinatamkika vibaya na hazina utamkaji wa kisayansi. ( They are not scientifically arranged).
Kwa mfano wizara kama ya afya, usitawi wa jamii, jinsia, wazee na watoto ingeitwa tu wizara ya Afya na usitawi wa jamii.
Jinsia...
mh, Rais atakuwa hajafuta hasa sikukuu ya Uhuru. Alichofanya ni kuja na style mpya ya kuadhimisha walau kwa mwaka huu. kaongea juu ya watu kufanya usafi Siku hiyo. sijui mwakani atarudisha utaratibu wa kawaida au la! .Hill namwachia mwenyewe. Binafsi kinachoudhi hasa ni Siku hiyo kuisha kwa...
warioba hajawahi shindwa kesi ya ubunge mahakamani. yeye ndo alimshinda wassira ambaye alikuwa ameshinda uchaguzi wa bunda mwaka 1995 akiwa chama cha nccr mageuzi. mahakama ilimkuta wassira ana hatia ya kutoa rushwa ktk uchaguzi huo na uchaguzi ukatengeuliwa na wassira akazuiwa kugombea ubunge...
kwani hao wanaotaka serikali tatu siyo watanzania? wewe una nini cha ziada kujiona mtanzania zaidi ya wengine? eleza tu mawazo yako kama mtu binafsi na usijifanye mtanzania kuliko wengine.
Ahsante sana Nape, you look gentleman. kama nilivyosema hapo nyuma sina wasi wasi na kipawa chako na uwezo wa kuongoza. Ahsante kwa kuelewa nia ya ushauri wangu na kuupokea positively. Thanks na kazi njema.
matatizo yetu ni kujadili mambo kiushabiki na kukariri majibu labda tuliyowahi kusikia huko nyuma. kwa mbunge kutojua kiingereza kweli ni aibu kubwa sana. tusijifariji hata kwenye mambo yanayotaka umakini. lugha ya kujifunzia katika nchi hii ni kiingereza namaanisha kuanzia level ya secondari...
Ahsante mr, Ngwanga kwa pongezi na kutambua mchango wa wengine. nadhani kwa kuwa wote hapa jf, tutaendelea kushauriana na kuelimishana maana wewe na mimi wote tuna namna ya kusaidiana na hasa kusaidia nchi yetu.
Ahsante mr, Ngwanga kwa pongezi na kutambua mchango wa wengine. nadhani kwa kuwa wote hapa jf, tutaendelea kushauriana na kuelimishana maana wewe na mimi wote tuna namna ya kusaidiana na hasa kusaidia nchi yetu.
Nimeona nitumie nafasi hii kumshauri kidogo mdogo wangu Nape. Nasema mdogo wangu si kwa maana ya madaraka bali umri kati yangu na yeye. ukimfanyia analysis Nape, kweli unaweza kugundua kwamba ni mwanasiasa mwenye kipawa(charisma) cha kufanya siasa. Na kweli kwa maana ya uenezi, ccm walikuwa...
Anasema kweli ni mambumbumbu. Ana reference nyingi. Na hasa kama mwanasiasa anajua hakika wadanganyika ni mbumbumbu pia. unakuwa madarakani miaka mingi bila kuwapa maji kwa mfano, lakini watakuchagua tena kwa ahadi ileile ya kuwaletea maji yaleyale walokuwa hawana. Nchi hii kweli imejaa...
kwa nini mnamsakazia waryoba kutetea serikali moja, wakati ninyi ccm mnaogopa wazanzibar kuwaambia juu ya kuvunja serikali yao na kuwa na serikali moja?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.