Mk
Mkuu kumbe unamajibu unayo yataka na hutaki kueleweshwa,Wakatoliki wa jimbo la Dar asilimia kubwa tulikua tunajua Baba kadinali akifikisha miaka 75 atastaafu na anafikisha miaka hiyo August2019 na hata mwenyewe alishaongea huko nyumba,hata alivyokuja Luwaichi tulijua ndio atakua askofu mkuu...
X wangu popote ulipo nimekukumbuka sana hasa ktk situation ninayopitia kwa ss,nilkuumiza kwa kuachana nawe kwa ghafla ulijua dhamani ya mwanamke hujawah niumiza ulinipenda vile vikadi vya I love u mara nimekumic aisee nakumbuka sana ulikua kubembeleza bwana namie navyojua kudeka acha tu siwezi...
Mama aendelee kumeza dawa za presha na kichwa kitapona ninatatizo km hilo nibadilisha madr wa macho mpaka basi mmoja ndio akaniambia ni presha baada ya kumeza dawa nimepona kichwa vizuri akabadilisha mfumo wa maisha apunguze chumvi
Wala sio aibu ni km alivyokutunza ww kwa mapenz yote na as wewe ujue ni jukumu lako kuwasaidia,wazazi wa ss wanajituma sana tena kwenye kufatilia watoto wao kwakweli wanajitahidi tofauti na wazazi wetu wa zamani.
Kama ulilelewa na wazazi hauwezi ongea hv,ukikumbuka walivyohangaika kukusomesha kwa shida toka kindergarten na kipato chao kidogo wakahakikisha unapata elimu bora,mpaka unamaliza chuo nawao ss uzee unaingia nguvu zile za kuchacharika zimepungua kwann usiwasaidie ni roho mbaya na ubinafsi.
Hameni tu kwa watanzania gani mnaowatetea wasiojielewa kwani yy hapendi kuishi maisha ya amani na familia yk.Hata kina mbowe nendeni mkaunge mkono juhudi za mheshimiwa labda watz tutapata akili
ww ni shida siwezi kubishana na ww uliyekariri ada sh milioni 10 unajua sana ada mpaka laki 9 kuna shule nyingi tu zipo hv kwa hz shule za uma kweli nikamtoe kafara mtoto wangu ni big NO,ushauri boresheni shule uma
kwanini lisiwezekane kuboresha shule za uma?Wanaopeleka watoto wao huko hawana mbadala baada ya shule za uma kua ni mbaya hebu jiulize darasa moja lina watoto 200 ni mwl gani atawamudu wao wote na masilahi yenyewe kiduchu,serikali iboreshe shule zake uone hz za kulipia zitakavyo kosa wateja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.