Pk ni raisi na anajua ujenz wa uchumi. Hvo alienda kufanya kama walivofanya na yanavofanya mataifa ya magharibi mpaka leo hii. Tanzania imelala ndo mana inashobokea huu mgogoro lakin je ni vibaya kwa rwanda kula cha africa? Sion haja ya malumbano hapa
Sa kama mm baba angu nilimnunulia sim ila huwa haweki vocha bali huwa nampigia kujua familia na ukoo wangu unaendaje. So atakatajwe? Au watafnga laini yake? Makamba feki
Duuuu ni ajabu na kweli nape anaelekea kubaya sijui kama atapewa tena hayo madaraka na wenye akili timam wakimaliza muda wao 2015. Labda ahame na nchi mana anawavuruga watanzania kwa uvivu wa kufikiri.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.