Recent content by MAGEUZI KWELI

  1. MAGEUZI KWELI

    JamiiForums Tanzania Unaodaiwa kuwa wosia wa Reginald Mengi huu hapa, mali zote ni za Jacqueline na watoto wake mapacha

    Mengi kafariki 2 May 2019 Ninachokiona ni 22 June 3019.
  2. MAGEUZI KWELI

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha RC Anthony Mtaka kubatilisha maagizo ya DC Bariadi si cha kawaida

    2020 wanadamu wa kweli watakaa pamoja na wale waliokuwa na matonge mdomoni wakidhania kula yao ni permanent watajuana
  3. MAGEUZI KWELI

    JamiiForums Tanzania Tangu Lissu aanze kuongea na vyombo vya Magharibi, ni faida gani kubwa ameipata?

    Acha Lissu abakie kuwa Lissu na ayafanyayo hayakuhusu na si lazima tusimamie unachoamini wewe. Lissu is different man
  4. MAGEUZI KWELI

    JamiiForums Tanzania RC Makonda, je unafahamu hili kuhusu mashoga na ushoga?

    Umejibu Vizuri ila vifungu vya mamlaka haviendani na mada, Jambo la msingi ni kujua kwaninii mashoga wanakuwepo na vyanzo vya anasa hizi ni kitu gani? Je umalaya ni halali ushoga siyo? ulevi ni halali ushoga siyo? Natamani tuwe na mfumo mmoja wa maadili ikiwa ni pamoja na kukataa kumbi za...
  5. MAGEUZI KWELI

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli asikitishwa na kifo cha Mwanafunzi wa NIT, aliyeuawa na Polisi

    Uchaguzi na risasi za moto, tanzania tuna historia gan mbaya inayosababisha polisi kubeba silaha na risasi za moto?
  6. MAGEUZI KWELI

    JamiiForums Tanzania Mwanadamu hupenda asichokuwa nacho, ipo siku Rais Magufuli atakumbukwa

    Umeongea njema, ulitakiwa ujue aina ya dictator aliyetakiwa na mfumo gani atautumia katika kusimamia utekezaji wa mabadiliko. Kunyimwa uhuru wa habari unapenda? Demokrasia tunayoiimbia kila siku kwamba nchi yetu ni ya kidemokrasia unapenda tulivyo, Tunapenda udictator kweli kutokana na...
  7. MAGEUZI KWELI

    JamiiForums Tanzania Nairobi Hospital: Hatujapokea fedha zozote kutoka Bunge la Tanzania

    Aibu Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
  8. MAGEUZI KWELI

    JamiiForums Tanzania Kwanini Dereva wa Lissu akimbizwe Nairobi?

    Ipo siku Wengi mtaamini katika kweli
  9. MAGEUZI KWELI

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Prof. Lipumba kuwaandikia barua ya onyo wabunge wa CUF waliotoka nje Bungeni

    2020 mwenyewe atafutika
  10. MAGEUZI KWELI

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Manji amesha punch case ya madawa ya kulevya tayari?

    Wana lengo, lisipofanikiwa watafungua lingine, mahakama inaweza mwachia huru na akatoka nje ya geti wakamkamata tena kwa kosa lingine. Tuna shida sana , Visasi anatoa Mungu pekee
  11. MAGEUZI KWELI

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu imetupilia mbali leo maombi ya dhamana ya Yusuf Manji

    Japo una hoja ya msingi usifurahie ukaonyesha hisia aisee, mambo haya hugeuka kwa namna tofauti, Mwombee tu la haki lisimame kwa haki...
  12. MAGEUZI KWELI

    JamiiForums Tanzania Hoja ya Udikteta wa Magufuli: Tundu Lissu isn't Right. Haupingwi kwa kupaza sauti kupiga tu Kelele!

    Mayala kikwetu ni Njaa. Remember chanzo cha maneno haya na Maswali uliyouliza...MAMLAKA ANAIPATA WAPI??????? keep the answer yourself
  13. MAGEUZI KWELI

    JamiiForums Tanzania Lowassa atakiwa kurudi kwa DCI Alhamisi Julai 20

    Wataanzania Wapi? kuna pa kupiga na pengine ukune upara kwanza
  14. MAGEUZI KWELI

    JamiiForums Tanzania KIBITI: Mtendaji wa Kijiji na Mwenyekiti wa Kitongoji cha Mangwi wauawa kwa kupigwa risasi

    Hii mijamaa ina silaha ndiyo maana. Waweke polisi kila baada ya nyumba 5 wenye silaha walale kwenye nyumba zao. naamini wauaji wapo mitaani na wanajua kila nyendo na ndiyo maana wanafanya huu upuuzi
  15. MAGEUZI KWELI

    JamiiForums Tanzania Imekuwaje Gorofa 1 ya TRA Chato ijengwe kwa bil 1.4 wakati Gorofa 4 UDSM zilijengwa kwa Mil 500?

    Nahisi hija ya msingi tuangalie TRA wanakusanya sh ngapi chato kwa Mwaka, Je wanahitaji investment kubwa hivyo kuliko jengo la TRA Chang'ombe Dar?
Back
Top Bottom