Mahakama Kuu imetupilia mbali leo maombi ya dhamana ya Yusuf Manji

Pogba amegundua Manji ndio tajiri no moja Tz tofauti na wale matajiri wa Forbes...wivu na chuki vinaunguza nafsi yake..wakiondoka nchi itakuwa mufilisi..
 
Duh...... Kazi ipo, ile kauli ya "siongei na mbwa, naongea na mwenye mbwa" haijawahi kumuacha mtu salama!!!
 
Quote:

Waliokuwa wanaishi kama malaika wataishi kama mashetani..

Safiiii sana sanaaaa...!!
 
Maombi hayo yametupiliwa mbali na Jaji Isaya Arufani. Kabla ya kutupiliwa mbali, maombi hayo, Manji alisimama na kuieleza mahakama kukataa kuwakilishwa na Wakili Peter Kibatala kwa sababu za kisiasa. Amedai, alipopeleka maombi ya dhamana alimpa maelekezo wakili Joseph Tedayo lakini alishangaa kesi ilipofika mahakamani hapo kwa ajili ya kisikilizwa maombi yake ya dhamana wakili Kibatala ndiyo alifika kumuwakilisha.
Yaani ghafla tu! Chadema buana...
 
Bob yusuph Manji unakumbuka ulikutana na Mgafuli akiwa anarudisha form ya kugombea urasiPALE KWENYE KOLIDO UKAMWAMBIA ANAJISUMBUA HAWEZI KUWA RAIS WA NCHI HII!? POLE KAFIE MBALI
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom