Recent content by mageni83

  1. M

    Anne Kilango Malecela awa bubu ghafla

    Usilazimishe kila mtu aamini unachokoiamini, tunataka viongozi na si washabiki wasiokuwa tayari kujisimamia, mwache asimamie anachokiamini na zaidi asimamie maslahi ya Taifa na Jimbo lake na si hoja ya zito ingawa kwa jinsi ninavyoona hoja hii inamashiko sana ingawa si lazima kila mmoja aamini...
  2. M

    Jimbo la Segerea: Nini CCM's Plan B?

    Hata kama jimbo la Segerea litabaki wazi bado siamini kama anaweza kuchaguliwa mbunge bora katika siasa za ushabiki zilizoibuka na kuongozwa na kundi la wasomi wenye nia ya kupitia dirishani baada ya wasomi wenzao kufunga mlango na kumeza funguo. Itakuwa bora zaidi kama watanzania wataligundua...
  3. M

    Hii ni Hatari: Wabunge wa CCM watishiwa maisha

    Anayechukia kukosolewa ni mwoga wa ukweli, waache wabunge waikosoe na waielekeze serikali ikibidi watumie mamlaka yao ya kikatiba kuiwajibisha, wabunge pia wajifunze kwa tukio hili kwani hata wao waliitisha serikali ilipowanyima ongezeko la posho, pande zote zicheze mchezo wa haki.
  4. M

    Bungeni leo: Updates

    Naamini wabunge wa CCM wataamua kwa busara na utulivu kwa kuzingatia maslahi ya Taifa.
Back
Top Bottom