Bungeni leo: Updates

Jaman,kwa mlio karibu na vyombo vya habari,naombeni mtujulishe nin kinaendelea huko bungeni..hao mawazir wezi,weisha achia ngazi au bado?over
 
Jaman,kwa mlio karibu na vyombo vya habari,naombeni mtujulishe nin kinaendelea huko bungeni..hao mawazir wezi,weisha achia ngazi au bado?over
sitegemei kipya toka bungeni angalia mwitikio wa wabunge wa CCM kwenye kusaini, naona watu wanasubiri kwa hamu lakini kipya ni kuwasilishwa hoja tu, wabunge wa CCM kwa umoja wao wataipinga tu unless waamue kufanya suprise
 
Back
Top Bottom