Recent content by MAGANJA

  1. M

    JamiiForums Tanzania To Restaurant, Bakaries, Burgers centres, Catering service centres, catering providers etc

    Tunapenda kuwatangazia wamiliki wa Restaurants, Bakeries, na Catering Services Providers kuwa, tunasambaza bidhaa za Disposables & Take Away kama vile 1. Aluminium Foils Sizes zote. 2. Aluminum Containers. 3. Tissues (Napkins) 4. Glass za Juices za Karatasi 5. Sahani (Paper Plates). 6. Bamboo...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Human cherish (hq) sanitary pads

    Habari zenu wana group. Tunauza PADS za Human Cherish maarufu kama HQ. Kwa sasa tuna Sanitary Pads tu ambazo hutumiwa na wanawake kwenye kipindi cha HEDHI. PADS hizi ni Pads zenye ubora wa hali ya juu na zimewekewa Dawa maalumu inayosaidia kutibu maradhi kama vile Fungus, miwasho na...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Human cherish (hq) sanitary pads

    Habari zenu wana group. Tunauza PADS za Human Cherish maarufu kama HQ. Kwa sasa tuna Sanitary Pads tu ambazo hutumiwa na wanawake kwenye kipindi cha HEDHI. PADS hizi ni Pads zenye ubora wa hali ya juu na zimewekewa Dawa maalumu inayosaidia kutibu maradhi kama vile Fungus, miwasho na pia...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Afya ya mwanamke na uke

    Nadhani wanawake wakienda kwa mtindo wa Kugeana elimu kwa style hii wengi wanatabadilika. Tatizo wengi wanakosea wanapoanza kumdhalilisha mtu mara kumsema vibaya mwisho wa siku naye ana panic hakuna kinachoeleweka. Shukran mtoa post na wachangiaji wote. Mdo mdo tutafika tu
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mnaofanya taratibu za kujiunga na vyuo vikuu

    Najua wengi wenu mmetupia macho kwenye Cut off Point. Wengine Kwenye Loan Priority. Wapo pia waliotupia macho kwenye Exposure ya chuo, market ya kozi anayotaka kwenda kusoma. Pia wapo waliangalia Marafiki zao vipenzi wanaenda kusoma nini na wapi. Hii sio mbaya. Ila In my Humble view, I advice...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Unashangaa matokeo?

    Waalimu wanatakiwa kila sehemu. Yaani akifaulu science vizuri akafundishe masomo ya sayansi ndiyo atakuwa mwalimu mzuri. Unadhani mtu aliyepata hesabu D ya makusudi anaweza kutua A ya uhakika?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Unashangaa matokeo?

    Naona kila mmoja anashangaa matokeo ya shule fulani kuwa mazuri sana wakilinganisha na shule zingine. Shule ambayo wanafunzi wanafundishwa na waalimu (na kusimamiwa na Patrons or Matrons) ambao walitia Division one kali Form IV na VI. Wakaacha kwenda kusoma Engineering, Pharmacy, Computer...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tishu maalumu kwa ajili ya barber shops

    Tunasambaza TISHU maalumu kwa ajili ya kufunga shingoni wakati mtu ananyoa kwenye salun zote za kiume. Tumeanza na Saluni zilizopo DAR ES SALAAM tu na kwa baadae tutawafikia Mikoani. Katika kila Pic moja kuna round 100. Yaani waweza kutumia kunyolea watu 100. Hazipitishi maji na zina gundi ya...
Back
Top Bottom