Kama hujui kaaa kimya kwani warioba kaanza kusema kwel leo, wameumbuka wanawaza nan amfunge paka kengelele, gusa unate yule mzee anaijua nchi kabla ya kuwepo hapa duniania anajua siri zoooote ww unaongea simple tu uchukue kadi, ww kijana wakubwa wanawaza ww unakurupuka, fikili kabla ya kutenda...
Itafika kipindi hata kipofu ataona kiziwi atasikia na kiwete atatembea na wote watasema basi yatosha, sjui Chama kile kinachotumia dora wataendelea kutumia au watasalenda, tuombe mungu sana hii nchi haina muda mrefu machafuko yataanza tena mziki wake utakuwa mkubwa tumrudie mungu
Hakuna ubishi serikali iliyomadarakani mfumo wa jeshi la polisi iliyoanzisha sijui polisi jamii ulinzi shirikishi na kuweka vituo vya polisi kama njugu sehem zingine hakuna hta kaz utakutana na kituo cha polisi na siraha juu tena porini kwel hakuna usalama wa siraha zile, ni shiida tupu madhara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.