habr, mi pia nina tatzo kwenye hizi fomu za mikopo toka wiki iliyopita sijapata control number, kila nikijaribu inaniambia we are still working with your requst.
Nifanyaje?
admission letter unaipata kwenye website ya chuo www.udom.ac.tz.then fungua link ya kwanza kabsa (UDOM WEB)
..kwenye news and events kipengele cha 6 ni admission leter click hapo then fuata maelekezo yaliyopo utapata barua yako...if not kuna namba za simu hapo hapo utawapigia utapata msaada.
vuta subira..kwa experienve niliyonayo hua wanatoa batch 3 labda this time wabadilishe utaratibu..lakin pia kuhusu mwisho wa kulipa usijali co tatzo xna..hua halizingatiwi
mi ninakushauri uwe nacho..coz lazima uambatanishe katika registration form yako pamoja na form 4 certificat,result slip ya 4m6 na medical form...kuepusha usumbufu utakaojitokeza
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.