Siasa si mapenzi, siku zote ukijiinza kweny siasa ni vema ukapambana na hali yoyote unayokutana nayo na pia kubadilika kutokana na nyakati kwa kubadilisha mbinu. Kama hujashiriki uchanguzi wananchi tutajuaje umeonewa? kwangu mimi njia nzuri ya kuwashtaki watawala ni kupitia kampeni kwa kuwa...
Acha umbea fanya kazi,mambo mengine ni matunda yatokanayo na kazi! Nani alikuambia magufuli anafanya kazi ya kuwabana watu wanatafuta kwa njia halali? Usitumie jina la rais kama rejea ya uzembe wako huko kwenu.
Nenda kisomachi high school,ipo kilimanjaro -moshi Vijijini-Uchira. Ni private inayomilikiwa na jimbo katoliki la moshi.nikuambie na ada?
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.