Ninathibitisha kauli ya Polepole kuwa CCM imeshinda kisayansi

JAY THE SON

Member
Joined
Nov 26, 2017
Posts
43
Reaction score
33
Nipo hapa kusema ukweli nitakaouthibitisha kwa vitendo na huo ndio uzalendo kwa Taifa langu mama TANZANIA ambapo kama Kijana nashangazwa na vijana wenzangu wasomi ambao mnadhamana kubwa kwa Taifa kulisaidia kwa KUTOA mawazo chanya yatakayoleta maendeleo chanya

Kuna mdau mmoja aliweka Uzi humu unaosema mheshimiwa H POLEPOLE kusema kuwa CCM Imeshinda uchaguzi Wa madiwani kisayansi ni UONGO TENA nilipomsikiliza POLEPOLE aliongezea jambo MUHIMU kuwa viongozi Wa chama walifuata maelekezo MUHIMU ya chama katika ngazi zote kwangu Mimi ushindi unaanzia hapa viongozi kupeana mikakati na kusimamia

Nataka nimueleze TU aliyetoa mada hiyo kuwa SAYANSI TU inajipambanua kuwa taaluma inayotoa majibu kwa changamoto mbalimbali na kusema kuwa CCM imeshinda kisayansi ni KWELI TENA KWELI TUPU

Kama Taifa kuwa na chama au vyama ambavyo havileti majibu kwa changamoto znazolikumba taifa na badala yake kujikita kuhamasisha wananchi kusema changamoto hizo kama Mtaji ni Kulitia hasara taifa kwa wakati ambao taifa linahitaji kupata CHAMA kinachobeba agenda za wananchi na kuzilitea majibu na Kazi hii adhimu imefanywa na CHAMA CHA MAPINDUZI pekee hapa ushindi lazima

Nimekua nikifatilia kwa ukaribu kampeni za vjana vyote niwe muwazi kuwa ni CCM pekee ilijikita katika kusema changamoto za wananchi na pia KUTOA mikakati gani ya kuondoa changamoto hizo na kweli wananchi wameona inawezekana kwa kuwa wameshaona MHE MAGUFULI Kazi anayofanya hivyo hawalua na shaka na chama lakini wenzetu wamekazania mnabomolewa Nyumba kwa uonezi Wa chama tawala agenda ambao hazina mashiko swali Dogo la kujiuliza walibomolewa chadema TU badala ya kuelimisha wananchi kutii mamlaka na sheria wew unatumia tatizo hilo kama agenda ya uchaguzi haiwezekani kuwapendeza wenye kuamua ktk sanduku LA kura

Narudia nidhamu na utulivu na kufuata maelekezo ndio sababu ya ushindi pamoja na kutii sheria na hoja kuwa polisi wametumika ni kujifariji TU na kwa kuwa wanaccm wamefundwa wakafundika ndio maana hawajichukulii sheria mikononi wanatoa taarifa kwa mamlaka husika kusaidiwa sasa wenzangu na Mimi kwanza hao polisi ndio kwanza mnawachonganisha na wananchi na kwanza hamuwaamini mnajiona ninyi mnaweza kujilinda ni lazima muone mambo hayaendi vzuri tiini na mfuate utaratibu muone kama hawa watu wapo upande mmoja

CCM Imeshinda kwa nidhamu na kujua changamoto za watanzania na kuwaletea majibu TENA kwa kampeni safi za Nyumba kwa Nyumba nyie wengine endeleeni na KUTOA Maelezo ktk mitandao ya kijamii na badala yake hamuwafikii wananchi kisha mtegemee muijiza na kwa kuwa mnapata vjana wachache wanaowafariji mnaona mmemaliza

MHE POLEPOLE Nakupongeza kwa dhati kwa kuwa hata majibu yako ni sayansi TUPU na kwa vyovyote tutapata ushindi mkubwa tukiendelea kutumia kanuni na kufuata maelekezo

JAY THE SON
0755156747
 
Ushindi wa kiharamia unaweza kuitwa ushindi wa kisayansi, kweli?
 
Nauliza tu, kuna sayansi bila takwimu! Tusaidiane na kueleweshana
 
Ni Kijana gani Wa chama kile anayejiamini kuwa chama chao kilishinda ila kimefanyiwa figisu na atueleze agenda zao zilikua non ambazo ni ngeni kwa watanzania na atueleze kuwa wameshatatua ngapi kwa miaka iliyopita

Kwa kuwa hoja zenu ni matusi huenda ndio maelekezo mliyoamini kuwa itawapa ushindi lete hoja ujibiwe kwa hoja viroba vimeshawaaribu vjana
 
Kama sayansi ya kutumia Mapanga na Mtutu ana haki ya kusema hayo
 
Nipo hapa kusema ukweli nitakaouthibitisha kwa vitendo na huo ndio uzalendo kwa Taifa langu mama TANZANIA ambapo kama Kijana nashangazwa na vijana wenzangu wasomi ambao mnadhamana kubwa kwa Taifa kulisaidia kwa KUTOA mawazo chanya yatakayoleta maendeleo chanya

Kuna mdau mmoja aliweka Uzi humu unaosema mheshimiwa H POLEPOLE kusema kuwa CCM Imeshinda uchaguzi Wa madiwani kisayansi ni UONGO TENA nilipomsikiliza POLEPOLE aliongezea jambo MUHIMU kuwa viongozi Wa chama walifuata maelekezo MUHIMU ya chama katika ngazi zote kwangu Mimi ushindi unaanzia hapa viongozi kupeana mikakati na kusimamia

Nataka nimueleze TU aliyetoa mada hiyo kuwa SAYANSI TU inajipambanua kuwa taaluma inayotoa majibu kwa changamoto mbalimbali na kusema kuwa CCM imeshinda kisayansi ni KWELI TENA KWELI TUPU

Kama Taifa kuwa na chama au vyama ambavyo havileti majibu kwa changamoto znazolikumba taifa na badala yake kujikita kuhamasisha wananchi kusema changamoto hizo kama Mtaji ni Kulitia hasara taifa kwa wakati ambao taifa linahitaji kupata CHAMA kinachobeba agenda za wananchi na kuzilitea majibu na Kazi hii adhimu imefanywa na CHAMA CHA MAPINDUZI pekee hapa ushindi lazima

Nimekua nikifatilia kwa ukaribu kampeni za vjana vyote niwe muwazi kuwa ni CCM pekee ilijikita katika kusema changamoto za wananchi na pia KUTOA mikakati gani ya kuondoa changamoto hizo na kweli wananchi wameona inawezekana kwa kuwa wameshaona MHE MAGUFULI Kazi anayofanya hivyo hawalua na shaka na chama lakini wenzetu wamekazania mnabomolewa Nyumba kwa uonezi Wa chama tawala agenda ambao hazina mashiko swali Dogo la kujiuliza walibomolewa chadema TU badala ya kuelimisha wananchi kutii mamlaka na sheria wew unatumia tatizo hilo kama agenda ya uchaguzi haiwezekani kuwapendeza wenye kuamua ktk sanduku LA kura

Narudia nidhamu na utulivu na kufuata maelekezo ndio sababu ya ushindi pamoja na kutii sheria na hoja kuwa polisi wametumika ni kujifariji TU na kwa kuwa wanaccm wamefundwa wakafundika ndio maana hawajichukulii sheria mikononi wanatoa taarifa kwa mamlaka husika kusaidiwa sasa wenzangu na Mimi kwanza hao polisi ndio kwanza mnawachonganisha na wananchi na kwanza hamuwaamini mnajiona ninyi mnaweza kujilinda ni lazima muone mambo hayaendi vzuri tiini na mfuate utaratibu muone kama hawa watu wapo upande mmoja

CCM Imeshinda kwa nidhamu na kujua changamoto za watanzania na kuwaletea majibu TENA kwa kampeni safi za Nyumba kwa Nyumba nyie wengine endeleeni na KUTOA Maelezo ktk mitandao ya kijamii na badala yake hamuwafikii wananchi kisha mtegemee muijiza na kwa kuwa mnapata vjana wachache wanaowafariji mnaona mmemaliza

MHE POLEPOLE Nakupongeza kwa dhati kwa kuwa hata majibu yako ni sayansi TUPU na kwa vyovyote tutapata ushindi mkubwa tukiendelea kutumia kanuni na kufuata maelekezo

JAY THE SON
0755156747

Kama sayansi ni ya kuweka watu Mahabusu,kuwajeruhi,kuwaua,kuwateka kutumia mapanga na mitutu basi ni.kweli umeshinda kisayansi hongereni basi
 
Sayansi Ya Mitutu?Tunakupa Gari Mshahara Mzuri Na Nyumba Alafu Unatangaza Mpinzani Ameshnda Una Akili Kweli?Hyo Ndyo Sayansi Ya Polepole?
 
Nipo hapa kusema ukweli nitakaouthibitisha kwa vitendo na huo ndio uzalendo kwa Taifa langu mama TANZANIA ambapo kama Kijana nashangazwa na vijana wenzangu wasomi ambao mnadhamana kubwa kwa Taifa kulisaidia kwa KUTOA mawazo chanya yatakayoleta maendeleo chanya

Kuna mdau mmoja aliweka Uzi humu unaosema mheshimiwa H POLEPOLE kusema kuwa CCM Imeshinda uchaguzi Wa madiwani kisayansi ni UONGO TENA nilipomsikiliza POLEPOLE aliongezea jambo MUHIMU kuwa viongozi Wa chama walifuata maelekezo MUHIMU ya chama katika ngazi zote kwangu Mimi ushindi unaanzia hapa viongozi kupeana mikakati na kusimamia

Nataka nimueleze TU aliyetoa mada hiyo kuwa SAYANSI TU inajipambanua kuwa taaluma inayotoa majibu kwa changamoto mbalimbali na kusema kuwa CCM imeshinda kisayansi ni KWELI TENA KWELI TUPU

Kama Taifa kuwa na chama au vyama ambavyo havileti majibu kwa changamoto znazolikumba taifa na badala yake kujikita kuhamasisha wananchi kusema changamoto hizo kama Mtaji ni Kulitia hasara taifa kwa wakati ambao taifa linahitaji kupata CHAMA kinachobeba agenda za wananchi na kuzilitea majibu na Kazi hii adhimu imefanywa na CHAMA CHA MAPINDUZI pekee hapa ushindi lazima

Nimekua nikifatilia kwa ukaribu kampeni za vjana vyote niwe muwazi kuwa ni CCM pekee ilijikita katika kusema changamoto za wananchi na pia KUTOA mikakati gani ya kuondoa changamoto hizo na kweli wananchi wameona inawezekana kwa kuwa wameshaona MHE MAGUFULI Kazi anayofanya hivyo hawalua na shaka na chama lakini wenzetu wamekazania mnabomolewa Nyumba kwa uonezi Wa chama tawala agenda ambao hazina mashiko swali Dogo la kujiuliza walibomolewa chadema TU badala ya kuelimisha wananchi kutii mamlaka na sheria wew unatumia tatizo hilo kama agenda ya uchaguzi haiwezekani kuwapendeza wenye kuamua ktk sanduku LA kura

Narudia nidhamu na utulivu na kufuata maelekezo ndio sababu ya ushindi pamoja na kutii sheria na hoja kuwa polisi wametumika ni kujifariji TU na kwa kuwa wanaccm wamefundwa wakafundika ndio maana hawajichukulii sheria mikononi wanatoa taarifa kwa mamlaka husika kusaidiwa sasa wenzangu na Mimi kwanza hao polisi ndio kwanza mnawachonganisha na wananchi na kwanza hamuwaamini mnajiona ninyi mnaweza kujilinda ni lazima muone mambo hayaendi vzuri tiini na mfuate utaratibu muone kama hawa watu wapo upande mmoja

CCM Imeshinda kwa nidhamu na kujua changamoto za watanzania na kuwaletea majibu TENA kwa kampeni safi za Nyumba kwa Nyumba nyie wengine endeleeni na KUTOA Maelezo ktk mitandao ya kijamii na badala yake hamuwafikii wananchi kisha mtegemee muijiza na kwa kuwa mnapata vjana wachache wanaowafariji mnaona mmemaliza

MHE POLEPOLE Nakupongeza kwa dhati kwa kuwa hata majibu yako ni sayansi TUPU na kwa vyovyote tutapata ushindi mkubwa tukiendelea kutumia kanuni na kufuata maelekezo

JAY THE SON
0755156747

Mkuu maneno mengi na kutamba ni kwa sababu ccm is not on the receiving end ya unyama unaofanywa na vyombo vya dola. Hilo ni thahiri mkuu ni ukweli makada wa ccm ndio viongozi serekalini hivyo polisi inabidi wawe watiifu Kwa, hapo kweli utategemea haki itendeke ccm inaposhindana na vyama vingine.
 
Back
Top Bottom