Mimi wakinifanyia hivyo mara moja tu, napiga chini hiyo line yao. Hakuna mtandao wenye umaalum wowote sasa hivi, wote wanakaa na kukubaliana bei ya vifurushi. Mtandao ukinizingua tu naachana nao
Sijawafitinia kiongozi, nimewasahauri waone fursa. Labda Kama wameweka hivi karibuni maana nimetoka Dom wiki mbili zilizopita na Kampuni fulani sitaitaja wasijesema nawaharibia biashara. Mabasi mabovu sana aisee
Hakuna route yenye mabasi mabaya nchi hii Kama route ya Tanga Dodoma. Wafanyabiashara hawaoni hiyo fursa. Watu wanalazimika kupitia Arusha Kisha Dom kwa siku mbili kukwepa tu mabasi mabovu ya njia hiyo.
Una haraka gani unaandika vibaya hivyo au ndo upambe. Pamoja na hayo uliyoandika, nakukumbusha tu kuwa kina Sabaya wapo wengi na walitengenezwa na mfumo au kiongozi aliyekuwepo.
Kina Makonda, Mnyeti ni miongoni mwa hao wachache.
Wamiliki wa Maduka ya kubadilishia fedha, wangepewa nafasi ya...
Pumzika kwa kwa amani Rais wangu. Matendo yako yatafutana nawe sawa na wema na huruma za Mungu. Misingi ya nchi imetikiswa sana na wengine hasa wale waliokuwa wanakusifu sana, walianza kuiba hata kabla hujaka roho. Mungu atupiganie kama taifa. Daima tutakukumbuka.
Tanesco Tanga mmeanza mgap wa umeme? Mbona mwatukatia umeme kila wasaa bila taarifa tena kwa muda mrefu. Twauliza mara leo Kange hakuna, kesho makorora mara mwakidila na kwingineko. Shida nini??
Wangekuwa wanapiga disco kwenye hizo daladala usingehoji. Ila kwa kuwa ni neno la Mungu, unatuletea Uzi kana kwamba ni kitu cha ajabu sana. Acha injili ihubiriwe ndugu na sadaka ni hiari, waweza toa au usitoe
Ofisi ya mtu hiyo, dereva naye analinda Ofisi yake. Akiligongesha mwisho wa siku atakuwa hana kazi ndo maana analazimika kukwepa. Hao waliogongwa bahati yao mbaya tu. Mungu awasaidie kupona
Kaimu Mkurugenzi kaonewa. Yeye alitoa usafiri kama taratibu za Utumishi zinavyotaka, hakuelekeza marehemu abebwe juu ya carrier.
Inawezekana watumishi wenzake ndo waliosababisha. Walitaka wakae ndani ya gari ili wamsindikize marehemu kwao.
Hao waliobeba mwili na kuuoandisha huko ndo watuambie...
Karibuni nyote hapa JF. Nyumba ya hekima haina mgeni wala mwenyeji, kazi ni moja tu hapa. Chota hekima yako tembea mbele. Wapo baadhi humu wana akili fyatu, na hao hawalosekani katika jamii. Hao ni wa kupuuza maisha yaendelee.
JF Member
Jambo usiloweza kulibadili, unapaswa kulikubali. Nadhani ndiyo siri muhimu kwa jokate. Hata kama angepretend kununa, kuhuzunika au hata kulia kwa kwikwi, hawezi kubadili jambo ambalo Mungu alishaliamua.
Nilikuwa nafuatilia mahojiano Clouds Plus channel kati ya mtangazaji aliyekuwa studio na huyo Dogo Frank Makaranga jioni hii. Kijana ana akili sana licha ya umri wake mdogo. Amefanya uchambuzi mzuri wa kisiasa kuhusu matokeo ya uchaguzi mkuu na hali ya upinzani nchini.
Kwa uelewa wake na...
Hao mnaowataja mnawaharibia bila kujua. Mhe. Rais hapangiwi, na mnaowataja watu na kujifanya watabiri ndo mnawaharibia kabisa. Mwacheni Mhe apange timu take ya kazi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.