Recent content by Maga

  1. M

    JamiiForums Historia ya neno Msela na Baharia

    Duuuhhh
  2. M

    JamiiForums Ukatili unaofanywa kwa wabunge wa upinzani Tanzania

    Hivi si nilisikia wabunge wana bima ya afya tena special kuliko sisi kina yahe, Je bima nao hawakutoa matibabu? Nadhani kuna jambo linatakiwa kuwekwa sawa hapa
  3. M

    JamiiForums Bifu ya Mwakyembe na Diamond haikuanza jana, Shonza anatumika tu

    Ngoja tuwasubiri watamalizia wapi
  4. M

    JamiiForums TRA: Askofu Kakobe hana fedha wala akaunti binafsi ila Kanisa lina akaunti yenye Sh. Bilioni 8.1; amemwomba Rais radhi

    Kuna wakati mwingine kuna mambo inabidi tu uache yapite
  5. M

    JamiiForums Tuwapongeze Wabunge hawa wa CCM wampa makavu Waziri wa Fedha. Ndassa asema Waziri huwa ana kiburi na si msikivu

    Nusu ya wabunge wangekuwa wako hivi tungekuwa mbali. Shida wabunge wengi wa CCM wanafiki
  6. M

    JamiiForums Mwili wa Ndesamburo kuzungushwa mitaani Moshi ni utesaji

    Sio ajabu na wala CHADEMA sio wakwanza kufanya hivyo. Ilifanyika kwa Mwl. Nyerere, N. Mandela, n.k. Sioni kama kuna sababu ya kushangaa jambo kama hilo, na kila watu wana namna yao ya kuratibu misiba yao
  7. M

    JamiiForums Tume ya Uchaguzi na CHADEMA hamjawatendea haki walemavu

    Hoja ya upotoshaji. Mchakato wa kumpata mbunge viti maalum unapitishwa na tume ya uchaguzi
  8. M

    JamiiForums Huu ni umafia dhidi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar

    Pamoja na maelezo mengi bado hujatuambia je mpango wa kwenda clouds na wenyewe ni mpango wa nani? Acha maneno weka vyeti mezani
  9. M

    JamiiForums Hivi Rais Magufuli anadhani kwa kujifichia kwenye madawa watanzania atamsamehe hata?

    Filamu imeishia pale........teh teh teh
  10. M

    JamiiForums Madawa ya Kulevya na aibu ya Tanzania - Yatosha sasa!

    Huu ni mchezo wa kuigiza tu. Kama kweli hawa ni wauzaji wa madawa ya kulevya na walikuwa na ushahidi wa kutosha je ile hukumu iliyotolewa ndio adhabu ya wauzaji wa madawa? Huku ni kuchezeana akili na kutafuta kiki zisizokuwa na manufaa
  11. M

    JamiiForums TANESCO inagawa units 700 za umeme kwa wafanyakazi

    Majungu tuu hayo. Hiyo ni incetive ambayo ofisi nyingi hutoa kwa wafanyakazi wake inategemea aina ya kazi. Kuna wengine wanatoa bei maalam kwa ajili ya wafanyakazi wao, wengine wanatoa bidhaa halisi. Viwanda vya sukari wanatoa kilo za sukari, taasisi za maji zinatoa units kadhaa za maji, Tanesco...
  12. M

    JamiiForums Chadema na media Tanzania wanamaliza mwaka 2016 kwa aibu ya upotoshaji

    Mtoa mada unaposema uchumi umekuwa unaangalia nini? Naomba unisaidie kunijibu maswali yfuatayo with data, Unemployment rate ya Tanzania kwasasa ni ngapi? Kipato cha Mtanzania kwasasa mi kiasi gani? Purchasing power ya Watanzania kwasasa ikoje? Huduma za kijamii zikoje kwasasa?
  13. M

    JamiiForums Polisi yatoa tamko juu ya miili saba ya Ruvu na kupotea kwa Ben Saanane

    Na je akisema serikali ndio waliomficha mtasemaje?
  14. M

    JamiiForums RC Makonda na Mrisho Gambo wajifunze kwa RC Shamshama na Dr Kleruu, uongozi wa visasi haulipi

    Mkuu umetoa ushauri mzuri sana japo sijui kama watakuelewa
Back
Top Bottom