Kuna ongezeko la viwanda 2,000. Uchumi @7% rate of growth, ajira zinakuja sema kwa ssa tumesitisha, wanafunzi wa sekondari wanachujwa kwanza..... Tutafika tu japo kwa taabu.
hhaha hawana loloteWahuni hawa hawana jipya baada ya usanii wao wa wafanyakazi hewa, uhakiki wa vyeti sasa wamehamia kwenye madawa ya kulevya! Huku uchumi wa nchi ukizidi kudhoofika.
Kwa lugha hiyo hiyo wewe ni mmoja wao!Ukitaka kujua msingi wa mtu yeyote inabidi kuchunguza alikotokea - uangalie aliko na ujue anakokwenda. Binadamu ambaye utotoni mwake aliishi maisha na kukataliwa na mmoja wa wazazi wake .. kuna hali fulani ya kuwa na mapungufu kwenye fikra zake.
Hali hiyo lazima imuathiri hata kwenye utendaji wake wa kazi ....
Tuwe na utaratibu wa kuwafanyia uchunguzi viongozi wetu kabla ya kuwaweka kwenye uongozi. Nakumbuka enzi za mwalimu ... mgombea alikuwa anapendekezwa na sio kujipendekeza yeye mwenyewe. Uongozi ni kazi .. utawala sio kazi ...
Na mtoa mada mpuuzi
Wewe ndiye!Na mtoa mada mpuuzi
Nauangalia mwenendo mzima Wa nchi napata picha nyingi sana kichwani kwangu.
Kwanza Magufuli ameshtuka kwamba kauli zake za kibabe kwa wananchi wanyonge zimempotezea mvuto hivyo ametafuta ishu ya kuwapoteza wasahau machungu, akagundua njia ya madawa na kuwachafua wapinzani,
Magufuli anajua kabisa kwamba uchumi umekua hovyo tangu aingie ikulu na yote aliyoahidi wala hatayatekeleza kuyatelekeza,
Magufuli amejua kabisa kwamba, nguvu ya upinzani inakua kwa kazi hasa jinsi ambavyo viongozi Wa upinzani wamekua na hekima na busara katika matamshi na maamuzi,
Kama Kweli Magufuli anania njema na hii nchi, kama anataka kupambana na ufisadi kwanza angeruhusu kwanza Makonda achunguzwe ili ukweli juu ya Mali alizochuma kwa muda mfupi ujulikane,
Nimefwatilia kinachoendelea Ukumbi Wa Nyerere nimegundua ni siasa kabisa na kampeni za wapi kabisa..
Hebu jiulize kile kiitikio wanachoitikia kina mama mle ndani kimeandaliwa SAA ngapi??? Hivi nchi jamani haishi vituko kila anayekuja anakuja na sura yake ilimradi mtanzania aendelee kupumbazwa tu.
Sasa naona baada ya kumtaja Mbowe hawataji tena..

Mawazo yako bure kabisa inabidi uchunguzwe kwa kueneza propaganda jipangeNauangalia mwenendo mzima Wa nchi napata picha nyingi sana kichwani kwangu.
Kwanza Magufuli ameshtuka kwamba kauli zake za kibabe kwa wananchi wanyonge zimempotezea mvuto hivyo ametafuta ishu ya kuwapoteza wasahau machungu, akagundua njia ya madawa na kuwachafua wapinzani,
Magufuli anajua kabisa kwamba uchumi umekua hovyo tangu aingie ikulu na yote aliyoahidi wala hatayatekeleza kuyatelekeza,
Magufuli amejua kabisa kwamba, nguvu ya upinzani inakua kwa kazi hasa jinsi ambavyo viongozi Wa upinzani wamekua na hekima na busara katika matamshi na maamuzi,
Kama Kweli Magufuli anania njema na hii nchi, kama anataka kupambana na ufisadi kwanza angeruhusu kwanza Makonda achunguzwe ili ukweli juu ya Mali alizochuma kwa muda mfupi ujulikane,
Nimefwatilia kinachoendelea Ukumbi Wa Nyerere nimegundua ni siasa kabisa na kampeni za wapi kabisa..
Hebu jiulize kile kiitikio wanachoitikia kina mama mle ndani kimeandaliwa SAA ngapi??? Hivi nchi jamani haishi vituko kila anayekuja anakuja na sura yake ilimradi mtanzania aendelee kupumbazwa tu.
Sasa naona baada ya kumtaja Mbowe hawataji tena..
Magufuli is not right mentally!Nauangalia mwenendo mzima Wa nchi napata picha nyingi sana kichwani kwangu.
Kwanza Magufuli ameshtuka kwamba kauli zake za kibabe kwa wananchi wanyonge zimempotezea mvuto hivyo ametafuta ishu ya kuwapoteza wasahau machungu, akagundua njia ya madawa na kuwachafua wapinzani,
Magufuli anajua kabisa kwamba uchumi umekua hovyo tangu aingie ikulu na yote aliyoahidi wala hatayatekeleza kuyatelekeza,
Magufuli amejua kabisa kwamba, nguvu ya upinzani inakua kwa kazi hasa jinsi ambavyo viongozi Wa upinzani wamekua na hekima na busara katika matamshi na maamuzi,
Kama Kweli Magufuli anania njema na hii nchi, kama anataka kupambana na ufisadi kwanza angeruhusu kwanza Makonda achunguzwe ili ukweli juu ya Mali alizochuma kwa muda mfupi ujulikane,
Nimefwatilia kinachoendelea Ukumbi Wa Nyerere nimegundua ni siasa kabisa na kampeni za wapi kabisa..
Hebu jiulize kile kiitikio wanachoitikia kina mama mle ndani kimeandaliwa SAA ngapi??? Hivi nchi jamani haishi vituko kila anayekuja anakuja na sura yake ilimradi mtanzania aendelee kupumbazwa tu.
Sasa naona baada ya kumtaja Mbowe hawataji tena..
Ulete pia na wako uliyokupa takwimu hizo.Ni utafiti upi uliokupa takwimu hizo mkuu?
Mbona wananchi wamemuunga mkono JPM kwa 100% uchaguzi ulioisha juzi na kuitupa ukawa porini?
Mimi ni kiongozi wa familia ... sina mpango wa kuingia kwenye siasa kabisaKwa lugha hiyo hiyo wewe ni mmoja wao!
Ni utafiti upi uliokupa takwimu hizo mkuu?
Mbona wananchi wamemuunga mkono JPM kwa 100% uchaguzi ulioisha juzi na kuitupa ukawa porini?
Hii ni temptations & other horrible stories from upper-high! Yaani ni mwendo wa kukalia kalio moja kwa hofu ya movie!Hii sijui ni Drama, Thriller, Comedy au Horror!