Recent content by mafurikoyamoto

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nipo njiapanda

    yaani mm nkikuonaga moyo wangu unapasuka pwaaaaaaaaaaaaa!
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeaibishwa mbele ya mpenzi wangu inauma sana

    aisee!!
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeaibishwa mbele ya mpenzi wangu inauma sana

    kasema ndio eti mtoto anahitaji ada.... ila dharura yake isiwe yangu..
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeaibishwa mbele ya mpenzi wangu inauma sana

    mwezi wenyewe dume ntaipata api mkuu.
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeaibishwa mbele ya mpenzi wangu inauma sana

    \ aisee mkuu sijakupata
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke usipojikaza kutongoza/seduce wanaume utaishia kuliwa na misanturaaaa tu! (READER BE AWARE)

    aisee hebu ngoja nkalale niiamkie na nguvu mpyaaaa!
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nitabaki peke yangu hadi akili itulie

    aisee dada ww umetokea mkoa gani?? ala kiswahili cha wapi hiki?? kabila gani huyu>?? jf najifunza mengi kweli kweli
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeaibishwa mbele ya mpenzi wangu inauma sana

    ww yaonekana ni mtoto mzuri.....so ungekuwa ni ww ungenipa taf.....nijibu fasta naweza nkakufuata PM nkipata majibu mazuri..
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeaibishwa mbele ya mpenzi wangu inauma sana

    aisee sidhani ni mchaga alaffu mlevi sana....sema walikuwa yeye na mme wake wanafanya kazi bandari enzi izo basi wakatuibia wee wakaje nyumba kama tatu hivi..... mwakyembe kawatimua...sasa saivi wanategemea kodi ya pango tu....nahisi wamechanganyikiwa....
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeaibishwa mbele ya mpenzi wangu inauma sana

    ha ha ha mkuu watu wazima si wangejua nadanganya tu mm
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeaibishwa mbele ya mpenzi wangu inauma sana

    Wakuu nilitakiwa nilipe kodi mwanzoni mwa mwezi huu. Ila kwa hali nilionayo na majukumu nilionayo bado sijaweza kulipa hadi leo hii. Mama mwenye nyumba kanijia juu tena kwenye ofisi yangu mbele ya mpnz wangu aliekuja kunitembelea na mbele ya wafanyakazi wangu. Yaani aliongea na kunifokea kwa...
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini huniamini?

    aisee unatembea usiku.... lazima ww ni mwanga unawanga..... bora umesema mapema nilikuwa nishajipanga kuhamisha majeshi kwako.....ila kwa sasa basi tena!!
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tendo la ndoa wakati wa ujauzito na baada ya kujifungua

    hapana bwana baada ya siku tatu ndio utasikia maumivu baada ya hapo kitu ni mwake mwake watu tuna experience.
  14. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tendo la ndoa wakati wa ujauzito na baada ya kujifungua

    aisee kumbe!!
  15. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tendo la ndoa wakati wa ujauzito na baada ya kujifungua

    no no haikubaliki aisee!
Back
Top Bottom