Naamini mpenz anapatikana sehemu yoyote iwe kanisani ,mtandaoni,msikitini,kazini ,chuo etc ni vile kujitambua wewe mwenyewe nini unataka na kuwa makini,nina rafiki yangu wa kike alikutana na mwanaume fb na hawakuwa wanajuana yule mwanaume alikuwa anakaa nje ya tz,walianza kuchat kama marafiki...