Recent content by Maestrojr

  1. Maestrojr

    JamiiForums CHADEMA walipanga kushindwa Kinondoni pamoja na Siha

    Mwandishi umeonyesha una logic kuna some points upo vizuri ni kweli now upinzani unakosa pa kusimamia zaidi ya kunyimwa democrasia na matamko yanayotrend tu ndo imekuwa agenda kuu ya upinzani hakuna ile amsha amsha kama ya kipindi cha nyuma za kupambana na ufisadi, rushwa, elimu, maji, umeme na...
  2. Maestrojr

    JamiiForums Siwaelewi hawa wakwe wangu wapya

    Mkuu achana na huyo mke wa mtu yatakuja kukukuta ya ajabu mara unapigiwa simu anaambiwa njoo uchukue mzoga wako huku na wakati unaendelea kushangaa statement hiyo mara inaingia text bado zamu yako sasa na assume ndo upo ofisini kiti cha moto kazi hazifanyiki full presha unaaga fasta job kuwa...
  3. Maestrojr

    JamiiForums Jana nimehudhuria Bachelor party ya mtu, sijaamini nilichokiona

    Mkuu ni kweli kabisa ulichokiona pia hizo party zinafanyika sehemu kibao tu hata ukienda upcountry kama mwanza, arusha na mbeya hizo mambo zipo tena zinafanyika kindakindaki, nilishuhudia moja club flani hivi mbele ya daraja la furahisha jijini mwanza duh niliyoyaona pale huwezi amini hata...
  4. Maestrojr

    JamiiForums Iran: Ndege yaanguka na kuua watu wote 66 waliokuwa ndani yake

    Ndege ni usafiri wa uhakika zaidi tunaweza kusema salama zaidi ya asilimia 80 lakini siku ajali yake ikitokea inakuwa sio salama tena maana hakuna anayeweza survive.
  5. Maestrojr

    JamiiForums Prof. Beno Ndulu: Chungu cha BOT kina fedha za kutosha, nimeacha akiba ya fedha za kigeni Dola bilioni 6

    Prof. Beno Ndulu ni hazina ya taifa angebakishwa pia kuwa mshauri wa uchumi Tanzania ingekuwa bora zaidi maana anasema wakati anaingia alikuta reserve ya kiasi cha Billion 1.8 na sasa imefika karibu Billion 6. Kiukweli kwa Beno Ndulu ni great achievement anastahili pongezi
  6. Maestrojr

    JamiiForums Rais Magufuli atia grisi kwenye uchumi; Kutoa bilioni 200 kulipa madeni ya wafanyakazi na watoa huduma wa ndani

    Billion 200 offcoz si haba but ukiangalia na ratio ya watanzania wanaokaribia million 45 inakuwaje hapo
  7. Maestrojr

    JamiiForums Ofisa Operation TPA afukuzwa kazi baada ya kukutwa akimuinamisha mdada ofisini!

    Siku za mwizi arobaini pole yake aisee
Back
Top Bottom