CHADEMA walipanga kushindwa Kinondoni pamoja na Siha

Mwandishi umeonyesha una logic kuna some points upo vizuri ni kweli now upinzani unakosa pa kusimamia zaidi ya kunyimwa democrasia na matamko yanayotrend tu ndo imekuwa agenda kuu ya upinzani hakuna ile amsha amsha kama ya kipindi cha nyuma za kupambana na ufisadi, rushwa, elimu, maji, umeme na n.k. Now kabla ya kwenda kwenye uchaguzi wowote kuwe na strategies itakayopelekea wananchi kuielewa na kuikubali kwenye kuwaletea maendeleo ya ukweli
 
Chadema hawana ubavu huo wa kuja na mkakati wowote na hakuna mkakati wowote utakao fanikiwa kwani mkurugenzi ni wetu watendaji ni wetu police ni wetu na kila kitu kina toka kwenye mamlaka yetu.
Habari ndo hiyo sasa ninyi endeleeni kupiga kelele na maumivu yenu sisi hatujali. Jipen presha bure lakini ccm ni mbele kwa mbele.
 
Kuwa ccm kazi sana.
unatakiwa ujikane kweli kweli.
MJIFUNZE KUONA AIBU.
ANAYESEMA UCHAGUZI ULIKUWA WA HAKI NA HURU.ANIJIBU HILI.
KURA ZILIZOONGEZWA KWENYE MASANDUKU ZILITOKA WAPI?
 
Hilo la ‘disconnect’ nililizungumzia humu kama wiki mbili hivi zilizopita.

Lakini makamanda kwa jinsi walivyo vichwa maji wala hawakunielewa.

Majuzi tu hapa nimezunguka sehemu kadhaa za Tanzania na nilichokiona kwa macho yangu na kukisikia kwa masikio yangu ni tofauti kabisa na kilichopo mitandaoni.

Rais Magufuli [na by extension CCM] anakubalika sana uraiani kuliko anavyopewa credit na hawa the ‘vocal online minority’.

Nina imani asilimia za ushindi wake zitaongezeka 2020 kuliko ilivyokuwa 2015.

Watch this space....
ANAKUBALIKA KWA KUIBA KURA.
ANAKUBALIKA KWA KUWATESA WAPINZANI.
usione RAIA wamekaa kimya ukafikiri wanapenda yanayotokea.
NIAMBIE NI UCHAGUZI GANI CCM WALISHINDA KWA HAKI?
hata huyo magufuli mwaka 2015 kuna mabox ya kura yalikamatwa yakiwa na kura za tiki kwa magufuli.
UMESAHAU?
NIAMBIE NI UCHAGUZI GANI CCM WALISHINDA KWA HAKI?
 
Hilo la ‘disconnect’ nililizungumzia humu kama wiki mbili hivi zilizopita.

Lakini makamanda kwa jinsi walivyo vichwa maji wala hawakunielewa.

Majuzi tu hapa nimezunguka sehemu kadhaa za Tanzania na nilichokiona kwa macho yangu na kukisikia kwa masikio yangu ni tofauti kabisa na kilichopo mitandaoni.

Rais Magufuli [na by extension CCM] anakubalika sana uraiani kuliko anavyopewa credit na hawa the ‘vocal online minority’.

Nina imani asilimia za ushindi wake zitaongezeka 2020 kuliko ilivyokuwa 2015.

Watch this space....
Mkuu ulikuwa kijiji gani isije ikawa takwim zako ulizipata kwa wanakijiji wa chato
 
Mbona Sasa mliamua kupiga risasi na mliogopa kutoa viapo vya mawakala

Mbona Bunge nzima mlihamishia kinondoni?

Mbona mnanunua madiwani?

Mbona mnaogopa mikutano ya siasa?

Mbona kila siku mnaombwa kuombewa?

Mbona mnatumia polisi?

Ahaa mnaogopa sana nyie
Na hapo ndipo mlipokosea, na hapo ndipo mlipochapiwa.

Na mbaya zaidi ni kwamba hamuwezi kulalamika wananchi wakawaelewa.

Mosi...chadema walisusia chaguzi zote za marudio hadi uwanja wa kisiasa uwe sawa....mara paap wakashiriki chaguzi za siha na kinonondoni...hii ina maana wameridhika mapungufu yamerekebisha na uwanja ni sawia. Ukisema umeonewa tunakuona mwongo au punguani..ukisema kuna madhila tutakuuliza ulikuwa huyajui? Ulijipangaje?

Pili.. Kila siku chaguzi zina figisu. 2015 polisi walitanda hadi tukadhani kuna vita vimeibuka lakini chadema walichukua majimbo kibao..
Sasa hii ya kinondoni ambayo patrol ya polisi siku ya uchaguzi haikufika nusu ya ile ya 2015 imeshindwaje kuwafanya "makamanda" wampigie kura mtu wao na kudhibiti ushindi wao??

Chadema ijichunguze nankujijenga upya. Kulialia haisaidii.
 
Kuwa ccm kazi sana.
unatakiwa ujikane kweli kweli.
MJIFUNZE KUONA AIBU.
ANAYESEMA UCHAGUZI ULIKUWA WA HAKI NA HURU.ANIJIBU HILI.
KURA ZILIZOONGEZWA KWENYE MASANDUKU ZILITOKA WAPI?

Ndugu inamaana CDM hawakulijua hili?? Na walijipanga vipi kulidhibiti??? Na kama hawakujua namna ya kulidhibiti walipeleka TIMU uwanjani kufanya nini??? JIONGEZEEE NDUGU
 
Ndugu inamaana CDM hawakulijua hili?? Na walijipanga vipi kulidhibiti??? Na kama hawakujua namna ya kulidhibiti walipeleka TIMU uwanjani kufanya nini??? JIONGEZEEE NDUGU
sikia nikwambie.
CHADEMA SIO KAMA TUNAKATAA KUSHINDWA KWENYE UCHAGUZI.
BALI TUNATAKA TUSHINDWE KWA HAKI.
SASA MNASEMA MNAKUBALIKA KWANINI MNAIBA KURA?
 
Ndugu inamaana CDM hawakulijua hili?? Na walijipanga vipi kulidhibiti??? Na kama hawakujua namna ya kulidhibiti walipeleka TIMU uwanjani kufanya nini??? JIONGEZEEE NDUGU
hivi kwa akili yako CHADEMA WANAWEZA KUWADHIBITI NEC NA POLISI WASIIBE KURA.
unaona mauaji yaliyotokea?
MUNGU SAFARI HII KAWAUMBUA ALIYEONA WIZI WA KURA NI MWANDISHI.
UNATAKA KUBISHA NINI?
 
hivi kwa akili yako CHADEMA WANAWEZA KUWADHIBITI NEC NA POLISI WASIIBE KURA.
unaona mauaji yaliyotokea?
MUNGU SAFARI HII KAWAUMBUA ALIYEONA WIZI WA KURA NI MWANDISHI.
UNATAKA KUBISHA NINI?
Kwa akili hizi ni wakati wa chadema kustaaf siasa za upinzani.
Kwani Mdee, Mnyikq, Sugu, Msigwa etc walishindaje kwenye majimbo yao kama Nec na Ccm hawadhibitiki??
Mambo mengine ni aibu kusema hadharani ujue.
Imejivika unyonge hadi kwenye keyboard halaf unajiita kamanda!!
 
hivi kwa akili yako CHADEMA WANAWEZA KUWADHIBITI NEC NA POLISI WASIIBE KURA.
unaona mauaji yaliyotokea?
MUNGU SAFARI HII KAWAUMBUA ALIYEONA WIZI WA KURA NI MWANDISHI.
UNATAKA KUBISHA NINI?

Sasa kama hawawezi kudhibiti Kwanini wanashiriki uchaguzi?? Au WANATAEGEMEA MIUJIZA KATIKA KUSHINDA??? NA MAJIMBO TULIYO NAYO TULISHANDAJE?? TULIDHIBITI VIPI WIZI WA KURA?? KWANINI TUSITUMIE HIZO MBINU?? AU TULIPATA MIUJIZA KWA MAJIMBO TULIYO NAYO?? Sanuka jiongezeeee ndugu
 
Kwa akili hizi ni wakati wa chadema kustaaf siasa za upinzani.
Kwani Mdee, Mnyikq, Sugu, Msigwa etc walishindaje kwenye majimbo yao kama Nec na Ccm hawadhibitiki??
Mambo mengine ni aibu kusema hadharani ujue.
Imejivika unyonge hadi kwenye keyboard halaf unajiita kamanda!!
kuwa na akili basi..watu wanaingiza masanduku ya kura UTAWADHIBITI VIPI?
 
Mbona Sasa mliamua kupiga risasi na mliogopa kutoa viapo vya mawakala

Mbona Bunge nzima mlihamishia kinondoni?

Mbona mnanunua madiwani?

Mbona mnaogopa mikutano ya siasa?

Mbona kila siku mnaombwa kuombewa?

Mbona mnatumia polisi?

Ahaa mnaogopa sana nyie
Huna tofauti na karai lililotoboka.
 
Sasa kama hawawezi kudhibiti Kwanini wanashiriki uchaguzi?? Au WANATAEGEMEA MIUJIZA KATIKA KUSHINDA??? NA MAJIMBO TULIYO NAYO TULISHANDAJE?? TULIDHIBITI VIPI WIZI WA KURA?? KWANINI TUSITUMIE HIZO MBINU?? AU TULIPATA MIUJIZA KWA MAJIMBO TULIYO NAYO?? Sanuka jiongezeeee ndugu
HAKUNA UCHAGUZI CCM WALISHINDA KWA HAKI.
MUOGOPE MUNGU.KURA ZINAIBWA KUWAPA CCM USHINDI UNABISHA NINI?
 
Kwanza niseme wazi mimi ni muumini wa Yesu, Sina kadi yeyote ya chama siasa.
CDM members pamoja ni viongozi wao ni wavivu sana katika kufikiria mambo yaliyopo yanayoendelea Na forecast ya yajayo!
Wanachama wengi wa cdm hawapeleki michango yao ya mawazo ya kimkakati ili kukijenga chama chini huku kwa watu.
Huenda viongozi wa cdm siyo wasikivu hawapokei mawazo ya kujenga chama! Mfano kwa hili nani alimwamuru Mbowe akimbie Siha Na kuachia akina Polepole wakieneza Sera kila kona.
Wanacdm wengi wamejengewa akili TEGEMEZI NA KUKUBALI KILA KILE CHA UONGO KIWE KWELI ILI MRADI KASEMA MANGE KIMAMBI AU MBOWE.HUTASIKIA LOWASA KAONGEA JAMBO ASILOKUWA NA UHAKIKA NALO.
HOJA muhimu kama hii tunayojadili haina mashiko kwa akili za wanacdm wengi watatoa comment za kutukana Na mapovu kibao.
Lolote la uongo litajadiliwa na litapata wachangiaji wengi zaidi kuliko hili la kukijenga chama.NAWASHAURI CHADEMA WAANZE KUUNGA MKONO SHUGHULI ZA SERIKALI BADALA YA KUWA BUBU AU KUPONDA WAKATI WANANCHI WANAONA, WANASIKIA NK.KUUNGA MKONO SHUGHULI ZINAZOFANYWA NA SERIKALI YA JPM KITAWAFANYA WAPIGA KURA WA CDM KUTOPUNGUA.
 
HAKUNA UCHAGUZI CCM WALISHINDA KWA HAKI.
MUOGOPE MUNGU.KURA ZINAIBWA KUWAPA CCM USHINDI UNABISHA NINI?
Hivi salum mwalimu,kura yake alipiga kwenye kituo gani?nimetafuta sana nimuone akijipigia kura nimeshindwa kupata.Ukiniambia nakupa laki moja cash!
 
Wewe ndio wale wale KULALAMIKA UNITED......Endelea kulalamika mpaka YESU atakapokuja
sawa.Ila lazma MJUE CCM HAIKUBALIKI
NA NDO MAANA. NEC NA POLISI WANA SAIDIA KUIBA KURA.
kama ccm wanakubalika HAKUNA SABABU za kuiba kura na kufanya udanganyifu.
 
Back
Top Bottom