Recent content by Maendeleo tu

  1. Maendeleo tu

    Rai: Waziri aliyetuma SMS kwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Vipimo awajibishwe!

    Tuwe wakweli, hii issue kama ilivyokuwa kwa makontena si ya mtu mmoja au wawili, kuna mtandao mkubwa sana nyuma yake. Kumbe ndiyo maana hata vituo vya mafuta vilikuwa vinaota kama uyoga mpaka kwenye makazi ya watu. Hii nchi kweli ilioza
  2. Maendeleo tu

    Rai: Waziri aliyetuma SMS kwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Vipimo awajibishwe!

    Tumeliwa vya kutosha mpaka damu zimekauka. Sasa imetosha, hivi vijipu uchungu vipo vingi sana na viendelee kutumbuliwa
  3. Maendeleo tu

    Mama ni mama tuu

    Faiza hayo unayoamini yamesemwa na Gwajima kama ni kweli hiyo inaitwa revenge tu kwani imani nyingine pia wamekuwa wakiyasema hata sasa (ukitaka ushahidi upo ingawa kwa nia ya kujenga hauna maana kuuleta hapa)!! Kama umesimama kwenye imani yako ni vipi imani nyingine ikutetereshe? Ndiyo maana...
  4. Maendeleo tu

    Mama ni mama tuu

    Salaam kwako Faiza Foxy. WaTZ wengi hatujui siasa zinazoendelea kwenye nchi zenye migogoro na jambo usilolijua litakusumbua. Mengi yanayoonekana kwenye media ni propaganda kama hizi zinazoendelea sasa kuelekea uchaguzi mkuu. Ni vema tujadili yanayotuzunguka na tuliyo na ujuzi nayo kuliko kuleta...
  5. Maendeleo tu

    Kweli nimeamini ulikuwa moto wa mabua

    Unless your original post had to do with propaganda, you should have known the truth by now. Make sure you wake up early in the morning on Oct 25 and cast your vote to the right candidate. all the best.
  6. Maendeleo tu

    Mama ni mama tuu

    Naiona Tanzania ikiingia kwenye vita vya udini miaka michache ijayo. Tuombe Mungu tuchague viongozi wenye maono watunusuru na hii mihemko inayoinyemelea taifa
  7. Maendeleo tu

    Mtoto wangu hafanani na mimi kabisa, anafanana na mtu anayefanya kazi na mke wangu ofisi moja

    Inawezekana mkeo alimchukia sana huyo mfanyakazi mwenzake wakati wa ujauzito wake ndiyo maana akamfotoa. Meza pin mkuu endelea na maisha, lah future kwishnei
  8. Maendeleo tu

    Mama Janeth Magufuli agoma kukampeni, acharuka

    Jambo usilolijua litakusumbua. Kasikilizeni sera tu za wagombea wenu maana kuhusu ndoa nyingi bongo ni majanga. Labda mfumo wa utawala ukibadilika tuje tuangalie upya sheria za ndoa kunusuru vijana wetu
  9. Maendeleo tu

    Kweli nimeamini ulikuwa moto wa mabua

    Kujitekenya mwenyewe na kucheka mwenyewe ni sehemu pia ya kupunguza stress
  10. Maendeleo tu

    Kweli nimeamini ulikuwa moto wa mabua

    Kujitekenya mwenyewe na kucheka mwenyewe ni sehemu pia ya kupunguza stress
  11. Maendeleo tu

    Sakata la Richmond: Dr. Mwakyembe amkaanga Lowassa, Kumburuza Mahakamani...

    Ni upi usafi wa serikali ya sasa na wateule wake wa ubunge? Tujibiwe haya tufanye maamuzi ya busara. Kama walioteuliwa ubunge ni walewale ambao mpaka JK alikuwa anapata shida kuchagua mawaziri tutegemee jipya gani?
  12. Maendeleo tu

    Its time for the ICC to keep watch in Tanzania

    When auditors are commissioned to do an audit to any firm, their starting point is type of system the firm is using and whether it complies or not. Tanzania is a republic government whereby the people through multi-party political system elect representatives to make and enforce laws. The...
  13. Maendeleo tu

    Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye ahamia upinzani Rasmi - Agosti 22, 2015

    Hizi kauli zitawagharimu ccm. Tafuteni namna nyingine za propaganda hizi zimepitwa na wakati na zinaiharibia ccm maana ndiyo waanzishaji wa wimbo huu. Tukianza haya hakuna sekta itakayobaki salama Tanzania maana kila sehemu watu wapo kwa c/o.
  14. Maendeleo tu

    Sumaye, Unafahamu uliongoza baraza la kifisadi kuliko yeyote?

    Yaani hapa ccm ndipo inapoharibu. Mtoa mada ungeyasema haya wakati yupo ccm na jinsi mlivyomshughulikia ungeeleweka. Ulichofanya ni revenge ambayo kwenye sheria haikubaliki na imekula ccm
  15. Maendeleo tu

    Nisaidieni tiba ya ugonjwa wa mtu kula magodolo ni ipi?

    Tafuta vitu mbadala wa magodoro ya sponji na badala yake tumia magodoro ya sufi. Akivikosa vitu hivyo ndani kwa muda mrefu ataacha
Back
Top Bottom