Ni sahihi kabisa,ili mtu aonekane amekomaa ni pale anapokuwa na uwezo wa kuwaza na kuwazua,kupanga na kuchagua,kuamua na kutenda.Hapo mtu anakuwa amejitambua kuwa yeye ni nani.Hivyo basi,kama wanavyoendelea kuhama toka ccm kuja CHADEMA wako huru vile vile kwa mujibu wa katiba kuhama CHADEMA...
Huyo jamaa namuogopa.Kama kweli alikuwa mdau wa mashetani,anatakiwa kabisa awataje kwa majina watu aliowabadili kuwa misukule na aseme alipochoma vitendea kazi vyake hao binadamu anaowaita misukule aliwapeleka wapi.Utasikia huyohuyo amekuwa mchungaji kwenye kanisa na anaponya na watu wanamfuata.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.