Recent content by Madukani

  1. M

    JamiiForums Tanzania Je, wewe unajua vizazi vingapi kutoka kwa babu yako? Na ukoo wako umehifadhi vipi historia yake?

    Mimi najua vizazi viinne Toka kwa babu yangu,Mimi natoka katika ukoo wa kichifu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mkopo wa malipo kwa awamu bila dhamana

    Hakuna kitu kama hiki mkuu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mkopo wa malipo kwa awamu bila dhamana

    Hii kitu haijawahi kuwepo Tanzania,bila push factor utawajibika vipi kuulipa,hii iko kwa sisi watumishi wa umma tu
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kuna dogo kashinda Millioni 58 kwa kubeti. Mnashauri nini?

    Mkeka uko wapi, tofauti na hapo ni porojo tu kama za Ponjoro
  5. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Hili eneo la Nyamikoma, Busega bila TANROAD kuweka matuta watoto wetu watakwisha. Jana mtoto mmoja kagongwa na basi la Zakaria.

    Jamani, naandika kwa majonzi makubwa. Jana nilishuhudia ajali mbaya ya mtoto mwenye umri wa miaka sita akigongwa na gari na kufariki papo hapo. Hii si mara ya kwanza kutokea katika eneo la Nyamikoma, Busega, mkoani Simiyu, katika barabara ya Mwanza–Musoma. Kama mnakumbuka, mapema mwaka huu pia...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Watetezi wa Bandari wafika Mahakama ya Rufaa, Shughuli imeanza upya

    Tangu afe bibi yako wa mpigamiti akili yako haijakaa sawa
  7. M

    JamiiForums Tanzania Profesa Tibaijuka alipeleka Sakata la Bandari duniani

    Positive cement weka wewe,yeye kazi take ni kuandika negative comments, unamfundisha namna ya kufikiri!?
  8. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali iingilie kati huu ubadhirifu unaofanyika Shule ya Sekondari Venance Mabeyo-Busega

    Mkuu sisi kama wazazi tulimfuata mkuu baada ya kupokea malalamiko toka kwa watoto wetu lakini majibu yalikuwa ya kumlinda mwalimu,sasa muda wa kwenda mjini ni shida,ninaimani viongozi wa serikali wako humu watachukua hatua dhidi ya tuhuma hizi
  9. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali iingilie kati huu ubadhirifu unaofanyika Shule ya Sekondari Venance Mabeyo-Busega

    Duh mkuu kote huko tumefika hadi kwa mkuu wa shule ila wanalindana,tuntaka watumwe watu waje kuchunguza,ujue rimu 400 kuisha ndani ya miezi mitano ni hatari sana
  10. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali iingilie kati huu ubadhirifu unaofanyika Shule ya Sekondari Venance Mabeyo-Busega

    Sisi wazazi tunaosomesha watoto wetu shule ya sekondari Venance Mabeyo tulikaa kikao cha wazazi na kukubaliana kila mzazi kuchangia limu moja kwa kila mtoto ili kufanikisha zoezi la ufundishaji shuleni hapo,cha kushanga watoto wetu wamekuwa wakipigwa kila Mara wanapokuwa kwenye mitihani ikiwa...
Back
Top Bottom