Recent content by Maduhu2

  1. M

    Utabiri: Muhongo atajiuzulu tena

    Ndio maana waliitwa Malofa
  2. M

    Utabiri: Muhongo atajiuzulu tena

    Kweli watu wengi mna vichwa vya wenda wazimu, Muhongo ni kati ya vichwa vichache TZ vinavyoumiza wasio jali maslahi ya Taifa.Kubenea ataanzia wapi kama alithubutu kumwandama Mamnvi kwa ufisadi kwa muda wa miaka 7 Leo huyo huyo anamsafisha.Ajenda ya ufisadi upinzani hawiwezi tena!!
  3. M

    Dk. Gideon Shoo: Tuwapime walioteuliwa kwa kazi na si kwa majungu

    Dr.Shoo asante kwa uandishi wako mahiri.Haiwezekani watu wachache wakayumbisha Nchi kwa maslahi binafsi.
  4. M

    Kwanini Waziri Tibaijuka ni lazima ajiuzulu sasa au aondolewe na Mh. Rais

    Sikuwahi kujua kama una akili ndogo kiasi hicho. Kwa nini hatuhoji misaada inayotolewa na wafanya biashara nyingine ? Mfano Sabodo na Mengi wamekuwa wakitoa misaada mingi mbona hatohoji? Kwa hiyo tulitaka apate misaada kutoka kwa wazungu?
  5. M

    Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni

    Tabby unatatizo kidogo, Jiulize haya Masawali kuhusu report ya Mwakyembe iliyomgoa Waziri Mkuu Lowasa 1.Mwakembe alisema Richmond ilikuwa ni Kampuni Feki ambayo haikusajiliwa sehemu yoyote Duniani.Je ilikuwa kweli? 2.Je umejiuliza kama Richmond ilikuwa feki Symbion ameinunua Richmond kutoka Kwa...
  6. M

    Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni

    Kama ndio hivyo IPTL lazima apigwe vita pande zote,Haya Makampuni ya kigeni hayatakubali IPTL iuze umeme kwa bei chini.Watanzania kwa nini hizi habari hawaambiwi?
  7. M

    Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni

    Historia inatuambia Huyu Bwana Rugemalira ndiye wa kwanza kuwaambia Tanesco hapa tunaibiwa,Myaka yote anatetea haki yake leo kapata tunaaza kuhoji. Hivi Rugemalira akitoa misaada kwa jamii shida lakini misaada hiyo ikitolewa na wenzetu tunaona ni sawa.Hata vyama vya siasa/Wabunge wanapokea...
  8. M

    Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni

    Tatizo kubwa la wanasiasa wetu huwa wanakurupuka bila kufanya tafiti.Hata Waziri anayejiita msomi wa daraja la kwanza anasema peza hizo ni chafu.Wakaiti huohuo ansema waliopewa na Rugemalira walipe kodi.Sheria za Kodi pesa Chafu huwa haitozwi Kodi(Je huyo waziri alikuwa anamanisha nini) au ndio...
  9. M

    Tanganyika Law Society (TLS)

    Hivi ukiwa Raia wa Nchi nyingine unaweza kuwa mwanachama wa TLS?
  10. M

    Matumizi ya kifisadi ya Dr. Slaa kwenye ziara ya mkoa wa Kigoma, Singida, Tabora na Shinyanga

    Kama hiyo Document ni ya kweli basi chadema ni chama makini.Katibu Mkuu anapewa 80,000/= kwa siku hela ndongo sana. Je Kinana anapewa Shs.ngapi? Wakati walimu wakilia na njaa,Hospitalini madawa hakuna? Tuache argument za kipuuzi
  11. M

    Mbunge Bulaya kulipua wasambazaji dawa za kulevya bungeni leo-Yale yale ya Amina chifupa!

    Unaweza ukawa mpango wa kuwafanya wabunge(upinzani) wasijadiri sheria ya marekebisho ya katiba. Kesho tutegemee mjadala mkali.
  12. M

    CHADEMA wamwaga nyaraka za 'siri' Hesabu za Ruzuku; Msajili na CAG wawajibike

    Nadhani hapa baadhi yenu mnadandia hoja bila kuelewa taratibu.Iwapo Chadema walipeleka Hesabu ambazo hazikukaguliwa kwanini msajili alizipokea? Chukua mfano,wa makampuni, yanatakiwa kupeleka hesabu zao zilizokaguliwa na Cerfified Public Accountant.Je kampuni ikifanya kinyume chake na TRA...
  13. M

    Dr. Slaa: CHADEMA ni chama kinachoamini mfumo wa KIBEPARI

    Wana JF, kuna mada nyingine zinahitaji kufikiri kidogo sio kukurupuka. Kwa nchi yenye mipango mizuri kiuchumi cement inawezekana kuuzwa elfu tano. Tujiulize bidha zinolipiwa kodi 50% nfano VAT 18%na exc. 25% .pia kuna subsidise method. Kwa hiyo ndani ubepari unaweza uka control bei sio...
  14. M

    Kenyans work illegally in our country

    Tujadili kufanya kazi bila vibali. Walio wengi wanafanya kazi bila vibali na kama kuna mmoja bi boss anataka awabebe ndugu zake wote . W tz inabidi tuwe wazalendo kwa kuwafichua watu kama hawa.
  15. M

    ITV waonyesha Mwalimu Nyerere akiihutubia Bunge la SA mwaka 1997

    Kwel Dr.slaa mbala. Hivi hotuba hiyo inapatikana wapi? Aliyoongea mpaka leo yanatokea.
Back
Top Bottom