Recent content by Madua Senior

  1. Madua Senior

    Ridhiwani ahoji Serikali kujitapa uchumi kukua wakati wananchi hawana maisha bora

    Billion 900 ,unataka kusema nini hapo? Weka wazi hapa Magu anakusanya kiasi gani mpaka mwezi wa nne mwaka hu!
  2. Madua Senior

    Kamanda Sirro: Mbowe jisalimishe Polisi; Masogange, Chid Mapenzi, Wallis Nasher tumewakuta na madawa

    Nakuunga mkono kweli kabisa na nadhani anatamani hata atumbuliwe ili akapumzike kwani anapelekeshwa bila kujali sheria ili mradi mkuu sizonje anataka lifanyike ili aburudike moyo wake!!
  3. Madua Senior

    Dawa za Kulevya: Yusufu Manji afikishwa Mahakamani Kisutu, aachiwa kwa dhamana

    Alisema bwana usibishe hata ushahidi wa audio upo na ninao
  4. Madua Senior

    Mume wangu ananilalamikia nilijifunza wapi penzi ninalompa

    Kwa hiyo unampa matterkou? La haula, tobaaaaaaa!!!
  5. Madua Senior

    Sheikh Khalifa ammwagia data zaidi Rais Magufuli za wasomi waislamu

    Sio dini tu na ukanda pia anaangalia kanda ya ziwa sana chunguzeni hili pia!!!
  6. Madua Senior

    Hawa ni mama na mtoto wake

    Mbona yapo mengi mnoo hapa hapa bongo au unaishi wapi? Sijui hata ni dhambi gani mpya hapa bongo haijafanyika!
Back
Top Bottom