Recent content by Madoki

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Sababu kwanini walokole hawawezi kuwashinda wachawi

    soma Mathayo 4.5~11, inaasema Ibilisi alimchukua Yesu mpka mliman.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kuna nini katika kinyesi cha binadamu??

    Serikali inahimiza watu wajenge vyoo bora kumbe kwenu hko bado mnajisaidia vichakaniiii,
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hali ni mbaya wadau Hebu tuelezane ukweli sasa."Mficha Uchi hazai"

    HahahH eti wameona wamalizane kinyaturu!!! Wanyaturu wanaindoka na lips?
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya kuona chatting za kunisaliti za mke wangu, Bosi aingiwa na huruma asema Jumatatu nisisafiri ili nimfumanie

    Kikulacho ki nguoni mwaka, hyo unayemwonyesha hzo text ndo anayekupigia, Mpaka hapo umeingizwa maboya aise pole sana.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Rufaa yafutilia mbali kifungu cha Sheria kinachosotesha watu rumande, Mtobesya ambwaga mwanasheria mkuu

    Hivi mahakama iliporuhusu mgombea binafsi, bunge lilishashughulikia hyo sheria? Tanzania bado kuna sheria ambazo zina mfumo kandamizi, angalia sheria ya ndoa kuruhusu mtoto kuolewa. Mahakama inafanya kazi nzuri sana kutafsir sheria na kushauri vyombo vinavyotunga sheria lakini hvyo vyombo ndo...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Halotel:jipatie 12gb,175 dakika mitandao yote mwezi mzima kwa 7500 tu.

    Uko wap nikufuate? Uniunganishe
  7. M

    JamiiForums Tanzania IKULU: Waziri Mkuu Mstaafu, Lowassa amekutana na kufanya mazungumzo na Rais Magufuli; akiri Rais anafanya kazi nzuri

    Hiii ndo Siasa, kwa wataalamu wa Siasa hicho kitendo ndo ukomavu wa kisiasa au ni mchakato wa kuelekea kuunga mkono.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mwanamuziki Nguza Viking (Babu Seya) na Mwanaye Johnson Nguza (Papii Kocha), watoka jela kwa msamaha wa Rais Magufuli

    Hitla alishawahi kuulizwa watu gani unawachukia akasema ni wanasheria kwa sababu kila nikisema au kutoa amri wanaanza kuhoji na kujiuliza ni sawa kisheria? Sasa kwa wanasheria na wanaharakati wa tz wataanzia kujiuliza kwa hili? Mungu amesikia kilio cha waja wake na hii imethibitisha kuwa haki ya...
  9. M

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mimi niko mkoa wa Iringa Wilaya ya Kilolo nafundisha secondary, kwa aliyetayari me niende Mbeya. Unaweza ukani PM tuyajenge.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania wanyimwa kuchangia damu hospitalini kisa ni wafuasi wa CHADEMA

    Duuu, mbna hawa watu sio wabunifu, sasa si wamwage askar hapo walinde huku watu wanaendelea kuchangia damu! Anasemaga Peter msigwa " akili ndogo haiwezi kutawala akili kubwa" nilikuelew sana msigwa.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya ni mmoja wa madaktari wanaomfanyia upasuaji Tundu Lissu

    Dereva wake VIP na PS? wao wamepona?
Back
Top Bottom