Recent content by Madihani

  1. Madihani

    GE2025 Octoba 30 ya damu. Nilishuhudia maiti zikitelekezwa njiani siku tatu mfululizo

    Hivi ni kweli kuwa hata waliokuwa wanaenda kupiga kura nao walikuwa wanauliwa?
  2. Madihani

    Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Umejuaje? Kila mbuzi anakula kulingana na urefu wa kamba yake.
  3. Madihani

    Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Watu wanahamia ila sijawahi kuona tangazo la kazi wala kuhamia, tafuta connection kwa wakubwa.
  4. Madihani

    Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Hayo ni malipo halali ila hujaambiwa ni ya nini. Mimi nilipohama kutoka Halmashauri kuja Taasisi malipo yalikuwa yanaingia nikawa nawauliza wadau wananipa majibu. Halmashauri nilikuwa nalipwa mshahara tu ila nilipohamia kuna: ●House Allowance kila mwezi ●Transport Allowance kila mwezi...
  5. Madihani

    GE2025 Movement for change ingefanya kazi kubwa mno kipindi hiki cha Nywi nywi ,nywi, Lowasa angebeba nchi kiwepesi sana

    Nyakati zinabadilika, hata kipindi hiki kitakuwa mfano, kama ambavyo kipindi cha mwaka 2015 umekitumia kama mfano.
  6. Madihani

    Kilichosababisha kocha Fadlu kuondoka Simba

    Weka ushahidi usio na shaka, kwenye mada umeweka maneno ya kubuni na kila mtu anaweza kufanya hivyo.
  7. Madihani

    DOKEZO Kinachoendelea Tanzania Institute of Accountancy (TIA) ni uozo unaonuka

    1. TIA ipo chini ya NACTVET sasa hapo TCU inaingiaje? 2. Kuandika hujui ila unajua kuhukumu bila vithibitisho vinavyohusu malalamiko yako. 3.Ungejua hakuna mwanafunzi amewahi kufanikiwa kwenye kesi za aina hio usingeleta mada hii Jamiiforums.
  8. Madihani

    Sina imani hata kidogo na hii full house ya Yanga

    Kila kitu watu hawana imani si serikali wala familia zao. Ndugu mtoa mada acha kukisia mambo ambayo huwezi kutolea ushahidi. Mimi sio shabiki wa mpira, sipo Simba wala Yanga.
  9. Madihani

    CRDB imekuwaje tangazo lenu halikuwa uzito kama matokeo ya hayo marekebisho au matengenezo ya Benki yenu

    Akili kisoda kwahio mshahara na malipo mengine ya serikali unataka yatolewe kwa njia gani?
  10. Madihani

    Qatar wanavuna walichopanda kwa kukubali kushirikiana na Marekani

    Nchi ya mashetani lakini wana pesa kuliko nyie ambao mnajiona sio mashetani.
  11. Madihani

    Qatar wanavuna walichopanda kwa kukubali kushirikiana na Marekani

    Shetani mkuu. Nafikiri mashetani ni Afrika ambako hali ya maisha ni magumu sana.
Back
Top Bottom