kama kubebwa wamabebwa sana kama kusamehewa wamesamehe sana kipindi cha Mh Jakaya Kikwete lakini hawabadiliki, Hawa watu bila kutowa mifano hatutafika hichi sio kipindi cha kubembekezana fedha nyingi zinatumika kulipa mishahara hewa halaf wewe unaficha majina ukifukuzwa eti kaonewa hivi kweli...
Eti anawatisha watashidwa kufanya kazi watafanya kazi kwa hofu na uonga. sasa mbona kipindi cha Mh Jakaya kikwete aliwapamba na kuwabembeleza mbona hatukuona tija sana sana waliturudisha nyuma nakutufanya masikini. Binadamu bila kumukazia nakumpa azabu kali mambo hayawezi kwenda.
kama kubebwa wamabebwa sana kama kusamehewa wamesamehe sana kipindi cha Mh Jakaya Kikwete lakini hajabadilika, Hawa watu bila kutowa mifano hatutafika.
huu ni ujinga na upumbavu iundwe tume ichunguze watoto wakislamu kwann wanafeli hv nyenyi waislam mna matatizo gan kwann mnajifanya your so special sana kila kitu nyinyi hamuishiwi kulialia hebu acheni upumbavu wenu. kwanza na shangaa Jamii forum kuruhusu thread ya kipumbavu kama hii mpaka hivi...
haja zalilisha mtu hapo mh magufuli kaongea ukweli siku zote ukweli unauma sasa sio mda wa kubebana hapa kwanini akae kimya wakati hicho ndo wanafanya songa Rais wangu mtukufu tuponyuma yako tutakulinda MTU WENU KATUTIA SANA HASARA NCHI HII TUMEMVUMULIA VYAKUTOSHA .
hata kura yangu mumeikosa sina mpango wa kupiga kura tena mwaka huu, Leo nimeamini kweli chadema ni mali ya Mtei na Mboe na sisi wengine tunatumiwa tu.
Eti fisadi Lowassa leo amekuwa bora kuliko Dr slaa? chadema hatuwezi shinda urais bila nguvu ya Dr slaa huo ndo ukweli hati huyo lowassa anamwitaji dr sana kumpigia kampeni.
Sina mtu ninae mtetea hapa ninaongea halihalisi ya mambo yalivyo, hata kwakumuangalia tu kwa macho inajionyesha kwamba Lowasa kunatatizo katika mwili wake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.