Recent content by Madeleke

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada kujua zaidi kuhusu application chuo cha ufundi Mbeya

    Wana jf ! Aliye na ufahamu juu ya maombi ya kujinga na chuo cha mbeya (MIST) ngazi ya diploma , bado wanapokea maombi maana kwenye website yao form za kujiunga wameziondoa hazipo ...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wana JF, aliye na ufahamu na chuo cha madini Dodoma

    Mkuu ni kozi ipi ina market kati ya hizo ... Msaada kaka
  3. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wana JF, aliye na ufahamu na chuo cha madini Dodoma

    Nina Mdogo wangu anataka kujiunga na chuo cha Madini Dodoma , Je ni kozi ipi itamfaa kati ya Petroleum and geoscience na mining engineering
  4. M

    JamiiForums Tanzania Vyuo vya Ufundi, Taarifa Muhimu kwa wanaopenda kujiunga

    Yap anazo ! ishu nikubadili
  5. M

    JamiiForums Tanzania Vyuo vya Ufundi, Taarifa Muhimu kwa wanaopenda kujiunga

    Geometry Vipi kuna mdogo wang amepita veta na ana level III ya umeme , inawezekana kubadili akachukua civil eng.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wastara Juma aomba Watanzania tumuombee, Nyumba zake 2 zawekwa x

    #hapa kazi tu
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wamarekani wamtaka Rais Obama kukutana na Rais Magufuli!

    Obama aje bongo land ! JPM wetu anabana matumizi hawezi kutumia hela ovyo kumfuata....
  8. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kibarua

    Nina level two ya ELECTRICAL INSTALLATION wana jf naomba mnisaidie natafuta kibarua popote pale naweza kufanya . .
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tukumbushane maswali na majibu ya test ya Mkaguzi Msaidizi Uhamiaji

    Msijali bado tunaendelea na zoezi ila wengi wenu mmehalibu sana.
Back
Top Bottom