Recent content by madeezo

  1. M

    Natafuta kazi ya blasting operations

    Natafuta kazi ya blasting operations nimesomea na nishafanya kazi JASCO Na Tazara mbeya Kongoro quarry pia nina bc niko Mwanza.
  2. M

    Hatimaye nimefanikiwa kutengeneza Android App

    Umefanyaje mpaka hapo tupe njia na sis tutengeneze
  3. M

    Naweza kusoma Computer maintainance kwa miezi miwili?

    Nashukulu Sana kaka kwa majibu yako mazuri nitajitahidi kufanya Kama ulivyo niambia.. Na ningependa kufahamu ulipo na kuja kupata knowledge kwako hata Siku moja coz napenda kufanya kazi hiyo ya computer repair na maintain
  4. M

    Naweza kusoma Computer maintainance kwa miezi miwili?

    Habar Eti Unaweza kusoma short course ya Computer maintainece and repair kwa miezi miwili ukawa FUNDI mzuri katka mambo ya computer
  5. M

    Madhara ya Kutoshiriki Tendo la Ndoa kwa Muda Mrefu

    Je kwa wiki unashauliwa kufanya Mara ngapi??
Back
Top Bottom