Mkuu wa shule ya sekondari Mkombozi ametoa taarifa kuhusu uvumi wa mwanafunzi aliyedanganya kuwa amefaulu na kunyimwa haki ya kusoma kidato cha tano, ikumbukwe kuwa binti huyu jina lake halisi anaitwa SIFAEL TAWEL ELIREHEMA
Pia soma: Kilimanjaro: Naomba tumsaidie Mtoto Sifika Daniely Ruben...
Mtoto muongo sana jina lake anaitwa SIFAEL TAWEL ELIREHEMA na alipata daraja 0, hakusoma masomo ya sayansi alikuwa anasoma masomo ya sanaa. Nimeweka na photoentry yake pamoja na ya SIFIKA RUBEN
Tatizo hapo Kahama ni Mkurugenzi masuala ya barabara hana habari nayo kabisa mbaya zaidi yupo hapo tangu kipindi cha JK, kila mkeka wa uteuzi ukitoka yeye haguswi. Pia siyo barabara tu pia ni manispaa yenye stendi mbovu sana.
Yaani unamaanisha kuwa Igunga iko juu ya Kahama!? Kwa biashara zilizopo mji wa Kahama, Igunga imeachwa mbali sana. Naona unalinganisha kifo na usingizi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.