Recent content by madebele charles

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mbona mabasi yaendayo kasi hayapo njiani?

    yale wanafundishiwa madereva maana yale wanaendesha madereva proffession sio madereva viroba
  2. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli hatashinda Urais hata JK analijua hilo

    MAGUFULI lazima ashinde CCM B wana njaa tuu hao
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo la walimu

    ualimu kwa sasa unakimbiliwa na watu wengi ili wapate mkopo na ajira mapema kwa sababu binafsi ikiwemo economic structure ya nyumbani kwao hasa kwa wanaotoka familia maskini watu wanafaulu kwa one za kutosha tu wako education na watu wanavithree vyao wako kozi zingine za kikuda bila kuangalia...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Updates kutoka Zanzibar: Mkutano wa kumtambulisha Mgombea Urais kwa tiketi ya UKAWA

    fanya vitu kwa umakini sio unakuja kutuletea uzi usiokuwa na mashiko wala ushahidi wowote camony
  5. M

    JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa Mradi wa Mabasi yaendayo Kasi(BRT) Dar - Agosti 17, 2015

    usidanganywe na mabasi wewe hiyo ni haki yako si unatoa kodi lazima maendeleo yafanyike but kura hawapati ukawa mpango mzima
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya mapokezi ya Lowassa Airports akiwa CCM na akiwa CHADEMA

    huna akili mtu wa ajabu hapigi kura hao hao watu wa ajabu ndo wanaompeleka ikulu mawazo yako yameganda kama maziwa mtindi
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Mafuriko ya Lowassa/UKAWA ni moto wa mabua!

    ajichanganye sasa kama anaona moto wa mabua hauwezi kumuunguza moto ni moto tu
  8. M

    JamiiForums Tanzania GE2015 Updates Kutoka Arusha: Mkutano wa kumtambulisha mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA

    ama kweli huyu jamaa ni chaguo la mungu ndo maana vi ccm siku hizi vimekuwa vipole vikada vya ccm vinaongea kama wanaopelekwa machinjioni sifa tunataka mabadiliko hatuangalii makunyanzi ukawa hoyeeeeeee.....
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nimetumiwa Faida Na Vodacom M-Pesa

    mimi wamenitumia ka 900 nikakanunua na kifurushi aisee
  10. M

    JamiiForums Tanzania Selfie kati ya President Obama na dadake Dr. Auma Obama

    dada alipata ajali kwenye gari la kiwi
Back
Top Bottom