Recent content by madamshey

  1. M

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Kuna mwalimu sec, yupo njombe makete anatafuta wa kubadirshana nae kutoka mkoa wa ruvuma wilaya yyte,, alie tayar ani inbox nimpatie contacts zake
  2. M

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Kuna mtu yuko singida, anatafuta wa ku adirishana nae kwenda Tandahimba mtwara, idara sec, kwa aliye tayar ani PM, niweze kumpa contacts zake
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nataka kuacha hii kazi, Nisaidieni

    Fungua kijibiashara hata kigenge cha nyanya mueke dogo ikiungizie sh2, kuliko kutegemea hyo ya mshahara tu,, Na ukisubir kupata mshahara mkubwa ndo uoe utazeeka,, Mi nakushauri tafuta mtu anaejua maisha ni nn ksha oa,, mtatoka tuu..
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kuvaa mlegezo ni fasheni au ni uchizi?

    Wengine ni mazoea tu! Hawana maana yyte mbaya! (Mtazamo)
Back
Top Bottom