Recent content by Madambule

  1. Madambule

    JamiiForums Tanzania Nyakati zimeenda sana, nikikumbuka vipindi/nyimbo hizi za muziki najiona kabisa siku zimeenda sana, mambo hayako tena vile

    Wakuu, Mwenye Wimbo wa Mjini Mipango wa Extra Bongo (Alli Choki)
  2. Madambule

    JamiiForums Tanzania Naomba kuunganishwa na madalali wa Songea mjini wanao husika kuuza nyumba na viwanja

    Wasiliana na +255752253270 yupo kona ya Soko kuu na NBC
  3. Madambule

    JamiiForums Tanzania Makete: Ajali ya gari yaua viongozi 6 wa CCM

    Poleni CCM, poleni Familia. MUNGU awaponye Majeruhi na kuzirehemu roho za marehemu
  4. Madambule

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hadithi: Kesi ya Mzee Mnyoka

    Mambo ni Fire!
  5. Madambule

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Natafuta wimbo wa Mjini shule ulioimbwz na bendi Extra Bongo iliyokuwa chini ya Ally Choki
  6. Madambule

    JamiiForums Tanzania Orodha ya walioachwa Ukuu wa Wilaya

    5) Pololeti Mgema 6) Andrea Tsere
  7. Madambule

    JamiiForums Tanzania Nani anafaa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi baada ya kifo cha Balozi John Kijazi?

    Kama ni Mwendelezo wa Mabalozi, basi Hussein Kattanga atafikiriwa na anafaa
  8. Madambule

    JamiiForums Tanzania Usafiri Dar - Mtwara, King Yassin Tours hongera

    Mkuu umenikumbusha mbali, mwaka 2013 nilihamishiwa kikazi Wilaya ya Newala kutoka DSM, mwanzo nilichanganyikiwa, lakini nikajiambia lazima nipambane, nikakwea mchuma uliitwa MAHUTA EXPRESS ukianzia safari zake Mbagala, humo ukiacha wenye siti, abiria walisimama mistari kila mmoja anageukia...
  9. Madambule

    JamiiForums Tanzania TANZIA Katibu Tawala Arusha, Bw. Richard Kwitega afariki Dunia

    Alikuwa Kiongozi Mwerevu, Pole kwa familia, ndugu, jamaa na marafiki. Roho wa MUNGU awapunguzie machungu na kuwapa ubaridi wa nafsi. Marehemu apate pumziko la Amani.
  10. Madambule

    JamiiForums Tanzania Baada ya Rais Magufuli kutema cheche, RC Kunenge aenda Ubungo Shule ya Msingi King'ongo, apiga mkwara

    Ni kweli, pia Jiografia ya kufika King'ongo ni changamoto hasa kipindi hiki cha mvua. Inabidi upitie Kimara Mwisho-Michungwani-King'ongo au Kimara Temboni-Matosa. Hata hivyo, hii haiondoi ukweli kuwa kuna uzembe miongoni mwa watendaji ukimuondoa Mkuu wa Mkoa!
  11. Madambule

    JamiiForums Tanzania Ludewa yakabiliwa na uhaba wa walimu 400

    M WAHENGA WALINENA; Mkataa kwako ni Mtumwa huko anakoishi, Najivunia nyumbani
Back
Top Bottom