Habari ndugu zangu,tafadhali naomba msaada kwa mwenye ufahamu na tiba ya ugonjwa wa kusinyaa kwa ubongo,mzazi wangu alianza kwa kupoteza kumbukumbu baada ya kuugua presha na kisukari kwa muda kidogo
Baada ya kufanya CT Scan mtaalamu alisema kwamba ubongo wake umesinyaa kidogo ndo umepelekea...
Habari wadau, nina samsung mini laptop inatumia OS ya android (chromeOS) nataka kuibadili iwe inatumia windows je inawezekanaje maana nimejaribu nimeshindwa.
Natumia firefox kwa laptop ila kila nikiweka gmail au yahoo haiconnect inatoa sms THIS CONNECTION IS UNTRUSTED nawezaje kufanya iwe trusted site coz zingine zinakubali,nimejaribu kuinstall latest version lakini bado
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.