Recent content by Madama gashimba

  1. Madama gashimba

    FT: Uganda 0-1 Tanzania: Kufuzu Afcon 2023 group E

    Maajabu wanaweza kuja tugonga lupaso go
  2. Madama gashimba

    Dangote Cement penetrates giant Kenyan Cement Market

    Tanzania ya V-wonders[emoji120][emoji57]
  3. Madama gashimba

    TCRA tuwekeni wazi kuhusu hili

    Isharud nimetoka kuchek BBC na futuhi muda sio mrefu via startimes
  4. Madama gashimba

    Ujerumani yalitaka koloni lake Tanganyika kwa mlango wa nyuma na mbinu za siri na vibaraka wao

    Mere speculation not based on factual observation, mtoa mada you need your head to be examined[emoji123][emoji16]
  5. Madama gashimba

    Ripoti: 61% ya Wahitimu wa vyuo vikuu wana uwezo mdogo kimaarifa

    Sio kweli, makazini lugha itumikayo ni kiswahili kwa wingi mkuu
  6. Madama gashimba

    Ripoti: 61% ya Wahitimu wa vyuo vikuu wana uwezo mdogo kimaarifa

    Inatumika wapi? Mashuleni au makazini?
  7. Madama gashimba

    Ripoti: 61% ya Wahitimu wa vyuo vikuu wana uwezo mdogo kimaarifa

    Kwann usitumie hii njia na ukawa nondo kuliko kuendelea kupoteza muda darasan kusikiliza mhadhiri ambayo yuko sharo? Tatizo jingine hili kutoamini msomi mkubwa km Dr na Profesa lakin unakuja kuamin ripoti iloandikwa na mwandishi wa habari pengine ni form four failure
  8. Madama gashimba

    Ripoti: 61% ya Wahitimu wa vyuo vikuu wana uwezo mdogo kimaarifa

    Unapotoka chuo na kuingia mtaani unakuja kutumia ujuzi ulioupata na sio kiingereza na hili unaweza kukubaliana namie km huwa unaenda maofisin Lugha wanazotumia kuwasiliana nasi watumishi wengi ni kiswahili japo walijifunza kwa kiingereza mashuleni, hivyo ondoa huu ufinyu wa kukiona kiingereza km...
  9. Madama gashimba

    Ripoti: 61% ya Wahitimu wa vyuo vikuu wana uwezo mdogo kimaarifa

    Kwa maana nyingine unataka kutuambia mtu msomi na mjuvi ni yule tu anayemudu kuzungumza kiingereza? Hili ni tatizo na janga linalotutafuna watanzania kwa kuwa watumwa wa fikra
  10. Madama gashimba

    Mikopo ya benki inatumika kishirikina na hailipiki hadi wakufilisi

    Mikopo itanufaisha watu pale tu bank zitakapoweka ulingano sawa wa faida y kutunza hela bank na kukopa hela bank, haiwezekan mtu afungue fixed account awe anapata faida ya 3% kwa mwaka hela aloweka wkt akikopa hela hiyo hiyo kutoka bank, bank inamtoza riba ya20% apo mtu atarajie kutusua kwa...
  11. Madama gashimba

    Zanzibar: Bomu larushwa na kulipua nyumba ya Kamishna wa Polisi

    Laiti CCM wasingelazimisha kurudia uchaguzi kwa mabavu, na kumlazimisha Jecha amtangaze aloahinda! Haya yote yasingekuwa yakijitokeza sasa
  12. Madama gashimba

    Wahindi wanatuharibia nchi

    Mbaya zaidi wanaendesha biashara zao kwa mikopo toka kwny bank zetu tena kwa masharti nafuu kitu ambacho wazawa hatupati
  13. Madama gashimba

    Lowassa anahudhuria mkutano mkuu wa CHADEMA kama nani?

    Ataenda km mjumbe mteule aloteuliwa na mwenyekiti, shida yako hapo nn?
Back
Top Bottom