Tatizo mkuu, mke uliempata sio chaguo lako. We ungemuoa huyo Rachel unaefanana nae tabia. Huwezi kuwa na mke mlokole wakati we sio mlokole, Tafuta wa kufanana naww na huyo mke wako ni mzuri kwasababu anahofu ya Mungu. Achana na wadangaji utapotea
Naomba niwashukuru tena kwa mawazo yenu. Ndoa ni taasisi, tumeshawekwa chini na viongozi wa dini wakaniambia nikubali tu yaishe kuwa mm nilishirikishwa nikawaelewa. Na nimeamua kumove on, sababu imeshatokea na haiwezi jirudia. Na kama msamaha ameshaomba SNA mume wangu na Nimemsamehe.
Nawaza...
Tatizo ndugu zangu mwanishambulia SNA, bila kujua tatizo LA upande wa pili.
Ni kweli mlinishauri na nilifuata ushauri wenu, yaliyo nikuta history ndefu nilienda mahakaman kuweka zuio mume wangu yy akatafuta wakili akanisomea vifungu, na mm nikambana kwa maswali mwisho wa siku akanitisha...
Jaman ni story ndefu, naomba niachie hapo. HV mwanaume akutaka lake anashindwa kufanya so anaweza akachukua hati akaepeleka dadaake kumsainisha. Niacheni jaman msiendelee kunitoa machoz nimeshalia SNA, nahitaji faraja yenu na Maneno yenye kunijenga
Ndugu zangu ndoa ni taasisi tumewekwa vikao na ndugu wa pande zote mbili, mume anadai amekosa sina budi kumsamehe na kuanza upya kusorve tatizo. Tulikosa MTU wa kutukopesa pesa hiyo nikaona bora niuze mwenywe maana wala jamaa wakija kupiga mnada wanaweza kuuza hata mill15 nikapata hasara zaidi
Aman iwe kwenu wakuu,
Kutoka Moyoni mwangu, nawashukuru wana jamvi kwa ushauri mzuri. Japo wapo wapo walio nidhihaki nawao pia nawashukuru pia.
Jamani wanaume mnatutesa wake zenu IPO HV wakuu, mume wangu alimchukulia nduguye mkopo wa mill.20 bank akaweka dhamana ya nyumba yetu.
Nyumba...
Tatizo LA Gullam anaona kama masihara, Luna mwanasheria nimepewa namba yke, tumeonana nimemuadithia kila kitu anasema ukitaka nikushughurikie tatizo lako nipe mill2, nimemuomba anisaidie kapunguza hadi 1.5 naitoa wapi hiyo pesa jaman
Nimeshawapa madalali kazi nauza mpaka kitanda na vitu Vingi tu vya ndani, but vinanunuliwa vyenye thaman ndogo pesa yenyewe ninayo pata nafanyia matumiz ya nyumbani. Yaani Siku ya kufa nyani miti yote huteleza
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.