Recent content by mactal

  1. mactal

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kazi

    Habari wakuu.. Mimi kijana wa kiume umri early 30's.Naombeni mwenye kazi yeyote halali alieko dodoma mjini anisaidie, Naweza kufanya kazi zinazohitaji kutumia nguvu au hata inayohitaji elimu ya darasani elimu bach.degree tourism vilevile computer technician with huge experience..nipo tayari kwa...
  2. mactal

    JamiiForums Tanzania Msaada Software for data recovery

    Min tool data recovery
  3. mactal

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada, mwenzenu napitia kipindi kigumu sana cha Msongo wa Mawazo

    Asante mkuu nataman ningekua karibu maana ningeshinda huko siku nzima.. maana nataman sehemu kichwa kiwe busy through out..
  4. mactal

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada, mwenzenu napitia kipindi kigumu sana cha Msongo wa Mawazo

    Nko mwanzon mwa miaka 30.. Nko arusha
  5. mactal

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada, mwenzenu napitia kipindi kigumu sana cha Msongo wa Mawazo

    Kudhulumiwa + loss kwenye ujasiriamali niliokua nafanya.
  6. mactal

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada, mwenzenu napitia kipindi kigumu sana cha Msongo wa Mawazo

    Dhulima na mambo ya kifamilia
  7. mactal

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada, mwenzenu napitia kipindi kigumu sana cha Msongo wa Mawazo

    Jinsia mwanaume mkuu
  8. mactal

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada, mwenzenu napitia kipindi kigumu sana cha Msongo wa Mawazo

    Habari za jioni wana jamii wenzangu. Naombeni msaada mwenzenu napitia kipindi kigumu sana cha msongo wa mawazo, nahitaji mtu wa kukaa tukaongea tu nimechoka na sasa naogopa kukaa ndani peke yangu. Nilijitahidi nibadilishe mazingira lakini bado hali imegoma kukaa sawa. Kusali nasali sana na...
  9. mactal

    JamiiForums Tanzania Unakumbuka nasaha/maneno yepi ya Baba/ Dingi/ Mshua wako?

    Niliambiwa nitumie sana akili kuishi..
  10. mactal

    JamiiForums Tanzania Wanasayansi wa hypersonic wafungwa 🤣

    Wafichwa ili kulinda wasiuze tekinologia zidi ya mahasimu
  11. mactal

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kwenye Iine ya Halotel.

    Kama una line nyingine..piga *106#..chagua namba 2 namba za simu ulizosajili..kisha ingiza namba yako ya nida..itakuonyesha namba zote ulizosajili kupitia NIDA yako.
  12. mactal

    JamiiForums Tanzania Je, wajua? Kukimbia kuligunduliwa na Thomas Running mwaka 1784

    Ni sawa na asili ya neno hello kwenye kupokea simu
Back
Top Bottom