Recent content by MACOLOR

  1. M

    JamiiForums Tanzania Msaada; Penzi linakaribia mwisho sababu nimegoma kuzama chumvini

    MKUU KAA CHINI UONGEE NAE UMUELEZEE UGUMU WAKO KWENYE HILO SUALA AKIGOMA HAMNA NAMNA CHAPA LAPA MAPEMA ATAKUSUMBUA MAANA INAONEKANA BILA KITENDO HICHO HAPATI RAHA
  2. M

    JamiiForums Tanzania Rav4 old vs harrier old version

    Habari! naomba wajuzi wa gari hizi mbili wanijuze ipi ni gari imara inayoweza ikadumu muda mrefu, isiyo na gharama kwenye matengenezo, inayoweza kwenda umbali mrefu na kupita hata rough road, tafadhali naombeni mawazo yenu mana nahitaji kuagiza moja kati ya hizi gari afu nisahau kabisa mpk labda...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Show room ipi wanauza magari kwa bei rahisi?

    BROTHER JIPCHANGE JAPO UPATE 8M NDO WAWEZA PATA GARI SHOWROOM TENA KWA BAHATI KWA HELA YAKO UTAUMIZA KICHWA BORA UTAFUTE USED TU ZA HAPA BONGO NO WAY
  4. M

    JamiiForums Tanzania Uzi Maalum kwa wanaouza na wanaohitaji kununua Ardhi

    Mkuu naomba viwanja vilivyo katika vipimo vya ft uweke katika mita wengne ft hatukipatii picha vizuri tafadhali
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ipi gari ya kuchukua? Toyota RunX / Allex, IST, Spacio, Raum,Carina

    Mkuu kwenye spacio hapo sio kweli kwa spacio new model zinabeba watu saba tena sio kwa kujibana na zipo za cc1490 to cc1500 na izo za cc1780 to cc1800
  6. M

    JamiiForums Tanzania Autocom Japan Inc- Niulize chochote kuhusu used car from Japan

    Mkuu nishauri kati ya SPACIO NEW MODEL NA RAUM NEW MODEL IPI NI BORA ZAIDI NIAGIZE, ushauri plz
  7. M

    JamiiForums Tanzania Autocom Japan Inc- Niulize chochote kuhusu used car from Japan

    Naomba bei ya gari yenye link hii Autocom Japan - Stock Number 327504
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Nissan X-trail zina tatizo la umeme?

    vitu gani hivyo vinavyokosekana
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Nissan X-trail zina tatizo la umeme?

    kama una hela chukua RAV4 OLD 1995-1999 3s engine direct from japan mbona mpaka wajukuu wataikuta
Back
Top Bottom