Recent content by Mackshij

  1. Mackshij

    JamiiForums Spika Ndugai amtaka Prof. Assad(CAG) kufika mbele ya kamati ya maadili vinginevyo atapelekwa kwa pingu

    Assad Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Mackshij

    JamiiForums wakala wa nokia

    Habari wadau, naomba kufahamishwa anaefahamu ofisi au mawakala wa nokia Dodoma au Arusha, kwa namba zao au hata eneo ntashukuru.
  3. Mackshij

    JamiiForums Chakula kipi cha kupeana nguvu za kiume

    Ulaji wa wanga kupindukia, matumizi ya sukari, vinywaji vyenye sukari zikiwemo juice za kutengeneza majumbani na matumizi ya mafuta yenye kiwango kikubwa cha omega 6 mfano mafuta ya mbegu, vimechangia sana upotevu wa nguvu za kiume.
  4. Mackshij

    JamiiForums Dudu Baya ashtakiwe kwa kosa la udhalilishaji

    Kuna radio mpya inaanza kurusha matangazo mjini, nafikiri huenda radio pendwa wanataka izima kinamna hii ili watu wapoteze mvuto hasa kwa hao watangazaji.
  5. Mackshij

    JamiiForums Vodacom Tanzania wameongeza gharama za vifurushi vya chuo

    Hizo data za mtandao wa voda zenyewe zinakatika haraka mno
Back
Top Bottom