Recent content by mackj

  1. mackj

    TAKUKURU Musoma mjini tunaomba mrejesho sakata la kutoa rushwa kwa aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo mlipo kamata mamilioni ya pesa kwenye mkutano

    Katika hali ya kushangaza kabla hata ya mchakato wa uchukuaji na urejeshwaji fomu za kugombea nafasi za ubunge na udiwani jimbo la Musoma Mjini mbunge wa jimbo jimbo hilo anaemaliza Muda wake vedastus mathayo alifanya ziara ya kuwashukuru wananchi kwenye kata zote 16 za wilaya hiyo akiwa...
  2. mackj

    PreGE2025 CHAUMMA yatumia akaunti ya YouTube ya CHADEMA kutangaza na kurusha mikutano yao

    Ni kweli kabisa sasa wanapokuwa wanalalamika kwenye vyombo vya habari wanamaanisha nini kwamba wananchi ndio wakawakamatie hilo jizi lenye kipara bila busara? Na mpk alikuwa anajinufaisha nayo wao walikuwa hawajui hilo kwasababu credentials zote ikiwa ni acc ya chma alazima ziwe kwenye files...
  3. mackj

    Muliro awakana Makada wa CHADEMA wanaodai kuteswa, kutupwa porini

    Kwani kiburi hiki kinasababishwa na sura yake mbaya au ana kile anaaminia nyuma
  4. mackj

    Hatimaye Tshisekedi na Kagame wakutana Qatar kujadili mzozo wa M23, wakubaliana kumaliza Vita DRC

    Sasa kama kagame hausiki kama alivyokuwa akikanusha hapo awali inawezekanaje ashiriki mazungumzo ya vita ya nchi nyingine na kuahidi kukomesha mapigano huku yeye hana vikosi huko? Kwani M23 wao wako wapi hapo? Kwamaana hiyo kagame ndiye kawawakilisha au?? Mbona mauzauza? Kongo pigeni hako...
  5. mackj

    PreGE2025 Waandishi wa Habari Mbeya walilia bahasha za khaki toka CCM!

    Kwani siku hizi kulipwa posho waandishi wa habari nayo ni sehemu ya haki ikiwa source amekwisha kukupa tip ya story? Hivi waandishi tunakwenda wapi? Mpaka mmepeleka na madai? Duuh hii taaluma jamani mbona hiyo ni rushwa sasa! Mfano tukisema huwa mnaandika story kwa sifa mapambio na mbwembwe...
  6. mackj

    Prof. Kitila Mkumbo: Waliopinga DP World wajitokeze hadharani wakiri mafanikio

    Yaani DP W ni kero kubwa sijui hizi takwimu wanazitoa wapi? Tumeagiza mzigo wetu wa jumping castle na vifaa vya kuchezea watoto zikiwepo swiming pool za kujaza hewa tangu mwezi wa 10 mwaka jana mpk juzi tarehe 28 oct ndio tumepata mzigo na kwa usumbufu mkubwa meli ikikaa kwenye gat bila kutoa...
  7. mackj

    Kufuzu AFCON 2025: Libya yasema itachukua hatua za kisheria dhidi ya Timu ya Taifa ya Nigeria

    The football federation in Libya should be taken strict legal measures so that it becomes a lesson for the federations of other countries with similar behavior to embrace non-football behaviors Tanzania is the victim of some of the atrocities committed by Libyan clubs and the country's...
  8. mackj

    FT: DR Congo 1 - 0 Tanzania | Qualification AFCON 2025 | Marty's Stadium | 10 Oktoba, 2024

    Na huu usimba na uyanga huu ndio unaoipa nchi aibu wenzetu nchi zao zina angalia taifa kwanza wameset priorities na siyo ushabiki ukiona hivyo ni kuwa kuna waliobora zaidi yao km unavyojua DR congo ivory cost ni nchi zenye mpira na vipaji vingi kulinganisha na bongo huo usimba uyanga umeigharim...
  9. mackj

    Barabara inayojengwa kibada-mwasonga wananchi wanapogwa na wakandarasi

    Tuchangie makosa? Kujirekebisha usomeke siyo ujinga hiyo ni brand ya mtu unaitia doa kwa jina la mtu halafu unataka upewe mchango upi? Nihusiane na defamation? Kivipi sasa? No research no right to speak 😀
  10. mackj

    Barabara inayojengwa kibada-mwasonga wananchi wanapogwa na wakandarasi

    Mo tena??😊 Mo anamiliki afya au masafi??
  11. mackj

    Barabara inayojengwa kibada-mwasonga wananchi wanapogwa na wakandarasi

    Barabara ya kibada-mwasonga inayoendelea na ujenzi mkandarasi hajaweka barabara ya mchepuo (diversion) kitu kinachopelekea watumishi wanaojenga barabara hiyo kuwazuia watumiaji wa barabara kutopita mpaka wamalize kazi yao kitu amabacho kinazua usumbufu mkubwa hivyo watumiaji wa barabara wakiwemo...
  12. mackj

    Kutoka kuvamia hadi kuvamiwa, hii ni fedheha kubwa kwa Russia Super Power kutegemewa na Iran

    Picha eneo zima la mrusi lilipo ndani ya ukrain mpaka wanalia kuhusu furusha watu wao halafu taarifa zinasema kuwa mkoa wa kieb ndio ulio na vikosi na silaha muhimu sana zinazowapa nguvu ya mashambulizi ukrain halafu putin ndipo ametarget then what yaani unakimbia kuteka mkoa mmoja unaacha mikoa...
Back
Top Bottom