Recent content by mack d

  1. M

    JamiiForums Tanzania Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

    pesa inang'arisha bhn watu wanatokea huko kolomi... wakiwa mavumbi kama ngoswe ila wakipata hela tu wanang'aa na maringo yanaanza. bongo bila hela hupendezi wala kupendwa
  2. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa apiga marufuku kuwatangaza watuhumiwa wa Madawa bila uhakiki

    p PM is right! hajaleta ushabiki manake haya mambo hayahitaji ujuaji kwani mitego itateguka na lengo mahususi kupotezwa ikiwa mtu anatajwa kiholela holela pasina kufuata taratibiu za kiuchunguzi zinazozingatia weledi wa kazi husika
  3. M

    JamiiForums Tanzania Jifunze English tenses kwa Kiswahili

    SIO JEDWARI NI 'JEDWALI'
Back
Top Bottom