Recent content by machumu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake hupenda mwanaume ambaye flow yake ya hela iko stable?

    Siyo wanawake wote....yawezekana hao uliokutana nao wana tabia hiyo , ingawa ni vema ukaangalia mbegu uliyapanda maishani mwako lazima uvune. Kama siyo mwaminifu utapataje mke mwaminifu?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Serikali pigeni marufuku mlo wa ugali wa mahindi

    Sasa kama akili zimeshadumaa watakupa majibu kutoka akili ipi?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tunadaiwa Tshs 90 bn halafu serikali ilitaka iwe siri!!

    Accacia haina hata usajili kama Kampuni ya uwekezaji inawezaje kununua nchi? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. M

    JamiiForums Tanzania Inauma sana; Mapenzi yaondoa uhai wa Francis Ngolle aliyezaliwa mwaka 1990

    Biblia inasema ,"Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa...." Vingine Hutokea kwa sababu ya kupenda dhambi na kufanya uovu....hakika Mtu mwovu hatakosa adhabu. Sent from my TECNO-L5 using JamiiForums mobile app
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu Wakatoliki kutokuabudu sanamu zilizopo makanisani

    Wanaozitumaini sanamu watafanana Nazo....nawaonya watu wote mnaosikia jihadharini na chachu ya wakatoliki....wana mafundisho mengi potofu ambayo wameyajengea ujanja wa misitari ya Biblia ili kuwasadikisha watu upotevu huo.....Mafundisho potofu yanayoendelezwa na katoliki ni pamoja na kuombea...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mapya yaibuka: Maafisa wa TMAA walipewa hela ili Smelter isijengewe Tanzania

    Huo uchambuzi wa kibiashara iko vizuri...hapa Tanzania tuna Uhuru wa kusema sio kutenda, pia tunaweza kupanga ila sio kuamua endeleeni kushauri yawezekana siku moja huo mwamba mgumu utapata cracks na kuvunjika. Hayo yanayotuumiza watanzania ndiyo NIRA ya taifa hili....tukazane tuivunje.
Back
Top Bottom