UMASKINI NI MAAAMUZI... mungu aliumba utajiri na umaskini ila akumuumba mtu maskini wala tajiri .......kwaiy vyote ni maamuz yako na yote yanawezekana tufanye kazi vijana. Lazima tuwe matajiri
Daah iyo noma kwakwel. Ila iyo mi siijui. Ila kitu ninachomuunga mkono ni kwenye kesi ya kupinga ushoga.... apo ndo tupo pamoja.... hayo mengine mi sijui.....
Mi naona yupo sawa maana anaimiza. Linda mgongo wako.... kwa yoyote anaepingana na mamba. Nais yeye ni shoga...⚠️⚠️⚠️⚠️ linda mgongo wako hali ni mbaya
According to JC EXPLORER..... ndege za kisasa zina mfumo wa flaps. Ambazo zinavuta ndege nyuma ili kupunguza kasi ya mwendo na upepo... flaps zinapatikan kwenye mabawa. Kama dreamliner za air tanzania au BOEING 777-300ER.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.